Mke wangu popote ulipo jitunze

Ss hivi yupo kwa msela amevaa litisheti likuubwa na kanga bila kuvaa chupi amejilaza kwenye sofa anacheki movie tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha mabaharia wanabaki kuwa mabaharia tu.



sf
 
Lazima alike kwa kudhamiria na kimasihara

Lazima atoe mimba

Aibe wanaume wa za watu

Adange sana tu


Lazima alazwe getho kwa sana tu


Lazima apitie hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DM sijawahi kufika mwenzio, ndio wapi huko sipafahamu

Mweeee mweeee usifanye hivyo, ni surprise na namba yako bas kwny private message.......Nina mengi ya kuongea na ww Juu ya masuala ya Uumbaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…