Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,565
- 9,760
Mmmh 6Amekuelewa,yupo anasoma ujumbe wako akiwa kifuani kwa mwanaume unayedai anamchezea
Na mimi namwambia fresh tuu japo inaniuma mbaya.Amekuelewa,yupo anasoma ujumbe wako akiwa kifuani kwa mwanaume unayedai anamchezea
Endelea kumuombea kwa imani yako mkuu, awe mke mwema kwako na mama bora kwa watoto wako na jamii inayomzunguka.