Mke wangu pasua kichwa

h
Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo dozi kali unampa mkiwa faragha bt fahamu zikimrudi tuu yeye anamtaka mama, sasa hii kitu mimi sielewi itakua bado ana kabehaviour ka utotoni au ni ulimbukeni na kujiendekeza tuu

Inafikia mahali na mpa kalikizo ka miezi kazaa akakae kwa mama yake hadi achoke akikaa siku mbili tuu ati kanimiss anang'ang'ania kurudi nyumbani akirudi muda tuu bado anazingua hivyo hivyo... Naombeni msaada plz.....
huyo bado anakuchukulia kama mpenzi kw hiyo yupo hapo kama mtalii siku mbili kwako siku mbili kwao.. Na ndiyo wadada wa siku hizo wao wameshazoea kulanda na njia kutongozwa kila siku kwa hiyo akikaa kwako muda mrefu ataata hizo mambo...Hapohujaoa mke ila upo na mpenzi wako na ukute hata kupika hapiki kila kukicha mnakula baa
 
Hahahahahaa some times wanawake wanapenda udikteta akisema mkazie hakuna kwenda na siku unamwambia nenda alaf hakuna kirudi mara mbili aua tatu ataavha huo ujinga
 
Wala haendi kwa mama yake bali anaenda kwa Ex wake. Jiongeze mkuu
 
Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo dozi kali unampa mkiwa faragha bt fahamu zikimrudi tuu yeye anamtaka mama, sasa hii kitu mimi sielewi itakua bado ana kabehaviour ka utotoni au ni ulimbukeni na kujiendekeza tuu

Inafikia mahali na mpa kalikizo ka miezi kazaa akakae kwa mama yake hadi achoke akikaa siku mbili tuu ati kanimiss anang'ang'ania kurudi nyumbani akirudi muda tuu bado anazingua hivyo hivyo... Naombeni msaada plz.....
Mpeleke kwa ally kiba pasua kichwa mwenzake ndio watawezana
 
Sio msagaji kweli uyo na mamake? Hebu chunguza fresh mkuu nahisi waga anamiss vitu kutoka kwa mamake kwa muda....
 
Mpatie ujauzito trip za kwenda kwa mama zitabadilika na kuwa za clinic.
 
Back
Top Bottom