Mke wangu pasua kichwa

Nakumiss pia Sana but nitafanyaje thatha. Uniite kwenye shughuli zile za madera mommy
we nawe hebu kwenda huko mi nakumiss kila siku sikuoni hata unyayo,we unapita kimya kimya. Hamna hata shughuli za madera na vijora now days buana
 
we nawe hebu kwenda huko mi nakumiss kila siku sikuoni hata unyayo,we unapita kimya kimya. Hamna hata shughuli za madera na vijora now days buana
Hahahha nitakuwa napita nikiacha alama dear.
Sasa hivi sipotei.
Halafu..... Daah ngoja nije piemu maana nilichotaka kuuliza kisije zua balaa
 
Back
Top Bottom