Mke wangu pasua kichwa

Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo dozi kali unampa mkiwa faragha bt fahamu zikimrudi tuu yeye anamtaka mama, sasa hii kitu mimi sielewi itakua bado ana kabehaviour ka utotoni au ni ulimbukeni na kujiendekeza tuu

Inafikia mahali na mpa kalikizo ka miezi kazaa akakae kwa mama yake hadi achoke akikaa siku mbili tuu ati kanimiss anang'ang'ania kurudi nyumbani akirudi muda tuu bado anazingua hivyo hivyo... Naombeni msaada plz.....
Huyo haendi kwa mama, unajisifia mwenyewe unampa dozi kumbe huna lolote. Anataka kuipeleka kwa basha wake anaona wewe unacheza tu...
 
we baba love si ndio juzi kati ulileta uzi kuwa mkeo analalamika una kibamia na ukawa unaomba dawa ya kibamia, Nashangaa tena kuona uzi ukidai huwa unampa dozi za maana ila anapenda kwenda kwa mama, Inshort huwa anaenda kuliwa( though t may not b)
 
Mwambie achague moja akikaa kwako hakuna habari za mama akienda kwa mama yake asije kwako maisha, kuwa na maamuzi magumu shuba the meet wewe
 
Huyo Baba lavuu kama ni kweli hizi mambo zinamtokea, Leo sijui analalaje
 
Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo dozi kali unampa mkiwa faragha bt fahamu zikimrudi tuu yeye anamtaka mama, sasa hii kitu mimi sielewi itakua bado ana kabehaviour ka utotoni au ni ulimbukeni na kujiendekeza tuu

Inafikia mahali na mpa kalikizo ka miezi kazaa akakae kwa mama yake hadi achoke akikaa siku mbili tuu ati kanimiss anang'ang'ania kurudi nyumbani akirudi muda tuu bado anazingua hivyo hivyo... Naombeni msaada plz.....

Ukiona hivyo basi juwa kuwa hana tena hamu na wewe na anakuona kama vile katuni tu. Mwache mtoto wa watu arudi kwao.
 
Dah vijana wa siku hizi kazi kweli ndiyo maana ndoa hazidumu kama za wahenga
 
Back
Top Bottom