Mke wangu nimemtimua leo

Sasa hapo kosa la huyo mwanamke ni lipi? Mbona hujaonesha ni namna gani amekusaliti?
Halafu uvumilivu ni nguzo moja muhimu sana kwenye ndoa.
Kwani unadhani walioko kwenye ndoa wake zao au waume zao huwa ? Au hawajawahi kuchepuka?
Au wewe tangu umemuoa haujawahi kuchepuka?

Jibu: Wanachepuka/Walichepuka sana tu ila kinachofanya ndoa zao zidumu na ziendelee kuishi ni uvumilivu na kuheshimiana.
So be patient brother no body is perfect under the sun.
Nenda kamchukue mkeo muishi kwa Amani na upendo.
 

Unajidanganya sana. Mama yako atakufariji sana kwa kila kitu hapa duniani ila mke au mwanadamu wa jinsia nyingine ana
nafasi yake. Sishabikii au kupenda kusaliti, la hasa ninapinda sana usaliti. Cha msingi tulia, kaa chini omba kwa Mungu wako ili akuonyeshe mahali ulipokosea kiasi kwamba mke wa miezi 7 anaamua kukusaliti. Hapa ni lazima kuwe na mapungufu somewhere kati yenu ambayo yamepelekea kutokea hali hii. Kwa misingi hii jitafakari sana na uombe Mungu akuongoze kuanza maisha mapya. Ukweli mama ni mama tu lakini mama si kila kitu katika maisha yako hasa pale unapoitwa mtu mzima ambaye anatakiwa aishi na mke au mume.

Pole sana kwa pigo la ndoa changa.

Na kwa dada zetu fahamu kuwa mume wa mtu anakupenda tu pale ukiwa kwa mumeo. Ukiachika tu unasoma namba zote. Na kwa kesi hii ninakuhakikishia kuwa mahusiano ya kule side dish yataisha kabisa au kuleta stress tu. Ridhika na mpenzi au mwenzi wako pale ambapo unaona kuna average or maximum love. Yaani vibanda, mafiga, madumu au michepuko ni temporary ana waste of precious resources especially time and financial. Watch out all. Na kwa wanaume ni hivyo hivyo tunapoteza wake wazuri kimaisha tuhakimbilia wanawake waliojipatia sura za kununua tunaishia pabaya always ana mimeshuhudia hata kwa wenzangu niliowafahamu.
 
wewe jamaa unaongea kama vile tupo kwenye dunia ambayo Eva au Hawa hakudanganywa kirahisi, unaongea kana kwamba una bima ya kutosalitiwa, unaongea kana kwamba wote wanaosalitiwa ni wazembe au wavivu, unaongea kana kwamba unayajua sana mawazo ya mkeo, unaongea kana kwamba sekunde moja ijayo unajua kitakachokutokea, pengine unafikiri mtu kuleta post hapa ni DHAIFU ila wewe usiyeleta malalamiko hapa JF ndiye STRONG. SAFARI BADO BROTHER.
 
Ongera.naeshimu maamuzi yako.polee.
 
Kama haujazaa nae mpige chini fasta. Huyo ni mnyama mkatili. Mshukuru Mungu umegundua kabla haujazaa nae watoto ingekulazimu uendelee kuvumilia.
 


Hata wewe siku zako zinahesabika kabla Mwanamke hajakumwaga, kama haujamwagwa bado, Wanawake hawapendi Wanaume nyoronyoro, wanapenda Wanaume imara!
 
Kama na wewe ni mzee wa michepuko umekosea kumwacha. Mimi ikinitokea hiyo dawa yake ni kumtafuta huyo mke wa huyo jamaa lazima achezee ubyoro, then namfuata huyo jamaa kiume kwamba yameisha na kila mtu abaki na wake!
 
Huyo hakuwa mke bali alikuwa hawara mke huwa haachwi kirahisi hivyo, na mke huwa unafunga naye ndoa! huyo alikuwa kiruka njia wako man!
 
Hata wewe siku zako zinahesabika kabla Mwanamke hajakumwaga, kama haujamwagwa bado, Wanawake hawapendi Wanaume nyoronyoro, wanapenda Wanaume imara!
Hata wewe siku zako zinahesabika kabla Mwanamke hajakumwaga, kama haujamwagwa bado, Wanawake hawapendi Wanaume nyoronyoro, wanapenda Wanaume imara!
hongera kwa kutosalitiwa na mwanamke wako maana uko imara haswaaa teh teh!
 
kufa

riji ni namna ya kumtoa katika kilindi cha mawazo na kumjengea / kumpa picha ya amani mbeleni... na wala si kusex .... hilo neno linajitegemea kimaana hivo usiende mbali sana mkuu.
Mkuu hakuna faraja ya mahusiano kwa Mtoto wa Kiume ukaipata kwa Mama,angesema Baba au Babu au Baba mdogo,au saana kwa Mjomba
Sie Wamanyema ni tusi kubwa saana hili Mtoto wa kiume kuomba ushauri au faraja kwa Mama.Sasa uandishi wake tu anaonekana kwamba ni Mtoto wa Mama
 
Mapenzi anayohamisha kwa mama yake si kma ninyi mnavotafsiri, kaka mm nakushauri umrudie mkeo kwani atakuwa amejifunza kosa lake afu angalia mapungufu uliyonayo kwake ujirekebishe
 
hapo atapata bwana atamzalisha fasta atafunga naye ndoa ya vigelegele ukisema wa nni wenzako wanajiuliza watampata lini
 
Hakuna aliykamilika chini ya jua sote tuna makosa so msamehe muendelee na maisha, unaweza ukaoa mwingn ukajuta mara 100000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…