Mke wangu nimemtimua leo

Mke wa mtu huyu ujue. Sio mama yako ni mke wa baba yako. Baba yako angemuacha ungekuwa unaenda kwa nani? Halafu kukusaliti maana yake nini? Kakukosesha deal la shiling ngapi? Isije ikawa kapiga friend match mbili ndoo unatoa unamuacha. Maana kuchapiwa ushaambiwa ni siri ya ndani? Embu funguka deal gani kaharibu huyo mkeo wa kurudiana nae kabla ya xmas?
 
Amekusaliti vipi mkubwa, mwanamke wa kweli ni mama tu mzazi na sio wavaa mawigi hawa
Nimefanya udakuzi wa Email zake na massage za wattup ni shida tupu mkuu bora hata ninyamaze....
 
Wewe hukuwahi kumsaliti hata mara moja, isije ikawa mkuki kwa nguruwe lakini kwako mchungu!
 
Umefanya jambo la maana sana kumuacha maana angeweza kukuletea magonjwa huyo sasa unaweza kunisaidia namba yake mie ananifaa huyo
 
Ok basi NDIWO
Na mapenzi pia uwe una sex nae mama yako!
 
Nadhani kosa kubwa tunalojidanganya wanaume ni kwamba, katika mahusiano, mwanamke ni wako. Wakati ana maamuzi yake, ana matamanio yake na ana namna yake anavyokuchukulia. You cant win a woman's heart forever. Akibaki na wewe, ni kwamba ameamua tu. Na akikusaliti, pia ameamua. Dont invest on women, either with money, or with your life. I mean, if it happens enjoy, and always be aware that anything can go wrong. Ukweli mchungu kumeza.
 
kufa
riji ni namna ya kumtoa katika kilindi cha mawazo na kumjengea / kumpa picha ya amani mbeleni... na wala si kusex .... hilo neno linajitegemea kimaana hivo usiende mbali sana mkuu.
 
duh!!! Kwa hiyo katembea nipe namb ake aje nimkanye geto
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] mkuu umetisha
 
Umepanik sana ndugu yangu embu poa kwanza halafu urudi tena
 
Sasa kama maamuzi umeshafanya na unadai tukuache, sasa hii post ya nini? 😀
 
pole mkuu, ila hata siku moja usiseme Unahamishia mapenzi kwa MAMA,jua kua mama anayo nafasi yake ilikuwepo from day one na itabakia hapo mpaka mwisho wa uhai wako, na vile vile nahisi sasaivi unaongea kwa hasira sana ndio mana umepitiliza ila hakuna mwanamme asie kua na mwanamke as long as ni Rijali wa kisawasawa...

Ukisema una chukua break kwa sasa we can understand lakini ukisema unahamisha kwa Mama unamanisha mwanzo ulikua humpendi baada ya kutenda ndio ukakumbuka yuko mama? na still anachoweza kukupa huyo Mpenzi wako Mama hawezi kukupa...........
 
KWA HASIRA HAUTATAKA MWANAMKE TENA LAKINI BAADAYE UTAHITAJI. ULITAKIWA UMPE KIPONDO CHA UHAKIKA ILI IWE KUMBUKUMBU KWAKE HUKO ATAKAKOENDA AKAWAONESHE NDUGU ZAKE NA HAWARA YAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…