Mke wangu ni Waziri, naombeni mnishauri hiki kitu....

Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Kama mkeo ni Yule waziri WA afya hata Mimi ningepungua kilo.
 
Pole mkubwa kama ni Anna Ndalichako kazi unayo maaana utaaambiwa performance 3.5
 
Tafuta kipozeo na wew uwe unajipigia halafu kuwa kama umempotezea uone kama hajileti mwennyewe
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Tunda au a.k.a... Unapata au hupati?
maana hiyo ndio ya muhimu sana.
 
Mkuu big gift, chill basi mdau wangu..
Daaahh unafeli mwanangu, unatakiwa uwe happy for me na mtoto mzuri.!

Stop this mwanangu! Ukweli tunaujua me and her.. Just be happy for us
Tupo pamoja mkuu kwa sababu nakukubali mdau wangu sioni ugumu kukupa warning. unajua nini i know this chick.
you just hit and run.
 
Call me old fashioned but..............mimi ndio maana I truly believe "Si vyema mwanamke kumshinda wadhifa, mapato ama hata elimu mwenza wake!".Pole sana mkuu. Ukute unahaha bure for nothing but inferiority complex.

Kweli kabisa. Nikiwa chuo kuna dada nilihangaika sana kwa ajili yake. Baadaye nikagundua ananichora tu jao anasema ananipenda. Kwa sababu alikuwa kwenye siasa, na hivi ninavyoandika hapa yeye ni mbunge na ni mke wa mbunge. Nikaja kujiona bwege sana. Sitorudia ujinga ule.
 
usipambane na mwanamke hapo hakuna mapenzi tena, mwanamke ameumbwa amtihii mme wake haijalishi yeye ni nani,so dont waste ur time uyo hawezi kuwa mwanamke tena fanya maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom