Mke wangu ni mjamzito lakini ananisumbua anataka “dudu la yuyu”

Kijacho ni jinsi KE,na mwenye haiba ya kike,

Tafuta hela tu,maana hata ukisema urud umpe kwa wiki hatatosheka,wanatakaga asbuh,mchana,na jion,na mda wote akikuona basi anataka pia,unaweza usiende kazin
kijana inaonesha experience ipo ya kutosha
 
Kama ujumbe unavojieleza.

Nina mke ambaye ni mjamzito, ujauzito uko kwenye late first trimister, amekuwa akinisumbua kuwa ana hamu ya mashine yangu muda wote na bahati mbaya niko mbali sana kikazi...

Wadau hii experience sina hebu nisaidieni
Piga kazi tu kijana

Shida itakuja katika kujifungua anaweza pigwa kisu maana njia itakuwa nyembamba

Uwe unaenda weekend kuiweka njia mahala pake
 
Kama ujumbe unavojieleza.

Nina mke ambaye ni mjamzito, ujauzito uko kwenye late first trimister, amekuwa akinisumbua kuwa ana hamu ya mashine yangu muda wote na bahati mbaya niko mbali sana kikazi...

Wadau hii experience sina hebu nisaidieni
Hehehehee kumbe huwa humo kwenye hizi maneno
 
Jamani ndugu zangu...

Imebidi ni give in na hizi kelele nimeamua kutenga 6M TSH kwa safari ya kwenda na kurudi kwa huyu mwanamama.

Kama uchawi upo basi yale mambo mvute mpenzi aliyembali mimi yamenipata...

Kama kuna anayejua kuvunja rimbwata anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom