Wote ni wachawi sema tu mwingine wa majini mwingine local ule wa kuroga.Habari wana JF
Mimi ndugu yenu nina makubwa ambayo yamenifika na sijui nitayatatua vipi?
Nina mke wangu nilimuoa mwaka 2015, baada ya kuishi nae miaka kama 7 sasa kuna siku juzi nipo kazini nikapokea simu kutoka kwa mdada wa kazi pale nyumbani akinitaka nirudi haraka nyumbani, bila kusita nikafanya hivyo baada ya kama lisaa nikawa nishafika nyumbani, nikamkuta mke wangu kak
Damu ya Yesu pekeeApo inahitajika Damu ya Yesu tu.
Nimeandika hiviSasa unataka maza akiwa mchawi atangaze kwa watoto? Ujue mbinu za uchawi na ujasusi ni sawa, sasa niambie, baba/mama akiwa jasusi atatangaza kwa watoto?
Hatari sana hizi mambo asee.Msimamo ni ule ule, mwanamke mchawi hapaswi kuishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Jamaa anaenda kuwa yatima na mgane kwa pamoja.
Hivi kiti anaweza kutengeneza Dawa mkuu?Sasa mke si ni kiti wa majini? Yaani ana majini.
Hivi kwanini inakuaga hivi? 🤔Drama tu za wanawake.
Na ligi zisizoisha za Mama mkwe na mke.
Achukue tu utaoa mwingine, Mama hutampata akiondolewa.Ndio mama hana madhara kwangu ila mke ananiambia kuwa anataka kuchukua uhai wake hivi karibuni!..