True Man11
Member
- Oct 14, 2022
- 86
- 119
Uwe mrefu flani hivi, shep ya ki model mwenye nyama, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo uwe mkoa wowote ila tutaishi dar, kama umebahatika kupata mtoto naomba isiwe zaidi ya mmoja, miaka kuanzia 22 - 30, muhimu saana uwe ushaamua kuwa mke, ndoa yetu mwaka huu Mungu akijaalia, kama ni wewe au una ndugu ama rafiki basi naomba mnisaidie pia nimpate huyu mke wangu namtafuta sana kila kona!
nina miaka 36, naishi dar es salaam mrefu kiasi, umbo la kawaida (nipo kwenye profile yangu) muajiriwa na biashara pia, naishi dar. karibuni sana PM
nina miaka 36, naishi dar es salaam mrefu kiasi, umbo la kawaida (nipo kwenye profile yangu) muajiriwa na biashara pia, naishi dar. karibuni sana PM