Mke wangu muuza vtumbua!!!

Mke wangu muuza vtumbua!!!

Cuso4.h2o

Member
Joined
Dec 9, 2012
Posts
93
Reaction score
8
Jaman leo nmetabriwa, mke wangu atakuwa muuza v2mbua,nfanye nn mimi mtoto wa billgate,et wana jf
 
makubwa
unawaamini sana watabiri e e e
mi siwataki hata kusikia
even though naweza kidogo utabiri
 
...inawezekana hicho "kitumbua" atakuwa anamuuzia huyo mtabiri...kwehe kwehe!
 
shida iko wapi? Mbona bakhresa Anauza Chapati, maandazi hadi ice cream na Mke wake hajaja hapa kulalamika?
 
Jaman leo nmetabriwa, mke wangu atakuwa muuza v2mbua,nfanye nn mimi mtoto wa billgate,et wana jf

Vitumbua jamii ya mandazi au umetumia tafsida? kama jamii ya maandazi siyo issue ila kama umetumia tafsida, kemea iyo hali manake UKIMWI ni soo, unaua sana waafrika
 
hata mbuyu ulianza kama mchicha, huenda akafungua kiwanda cha vitumbua!
 
Back
Top Bottom