Mke wangu muda wote ni kulala


Kula huyo house girl atajishughulishaa mwnyw
 
Mwambie asiendekeze kulala, kama ni hivyo huko kazni anafanyaje kazi? Au muone Dr lisije kuwa ni deko tu.
 
Mimba hiyoo..:A S 41::A S 41::A S 41::high5:..Anza kuchepuka awezi kukukamata si mda wote kalala😎😎
 
Hapo kuna tatizo ... mimba kupimwa kwa xray sijawai sikia... chunguza vizuri.
 

sasa kama mwanamke katangulia mwenyewe chumbani wewe sebuleni unasubili nn!
 
kwa lazima x ray itumike? huyo mwongo sio mimba wala nini shtuka mkuu anza kufanya uchunguzi.



hilo likimpata mtu linakuwa linamridhisha kabisa hadi anakuwa hana hamu tena na mwenza wake.

yesu alisema,ukikosana na mwenza wako hakikisha mnasameheana na kupatana kabla hakujakuchwa, alikua na maana, mkienda kulala kilammoja akiwa na hasira na kila mmoja kugeukia upandewake HUYO JINI WA MAHABA NDIO ANAPATA NAFASI YA KUINGIA KWA MMOJA KATIYENU, NA IKITOKEA HIVYO MAPENZI YA NDOA HAYATA SHAMIRI TENA KATI YENU .kwa7bu huyo ibiris ataendelea kuwagombanisha siku hadi siku. KAMA NDOA YENU INA AMANI NA HAINA MIGOGORO JINI MAHABA HAWEZI KUJA KATIYENU.
 
hope1985 nyi ni dini gani...?, tuanzie hapo labda.
 
Last edited by a moderator:
Kweli mimba ikiwachanga iyo hali inawezekana..na kila mimba inakuja na hali yake hivyo kama ni mimba uaimlaumu kabisa..pia tendo la ndoa huwa halitamaniki..maana mwili uko so uneasy..sasa ningumu kufurahia..ni sawa mtu ukiwa mgonjwa huwezi kuenjoy. Ila kama sio mimba basi jini mahaba au mchepuko unaweza kuwa sababu!
 
Bila shaka alijiandikisha, fanya kila unaloweza akapige kura tarehe 25, akimaliza kupiga kura nitakupa namna nzuri ya kutatua hilo tatizo
 
mtwange talaka namba one,akirudia unamtwanga red card.mwambie jumapili achukue na kuwekaaa,lowasaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…