Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,958
- 93,939
huyo mjane hakuangalia namba ya simu?
kwani mume alizikwa na line ya simu mkuu...ukipigwa na butwaa mambo kama hayo huwazi katu
huyo mjane hakuangalia namba ya simu?
Nimekupata na nitalifanyia kazi hili kwa post zitakazofuata! Heshima kwako mkuu!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kumbe hampendi mumewe kwanini azimie?Yap, hapo mjane akajua naye atafariki mda si mrefu na kumfuata mumewe!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
kumbe hampendi mumewe kwanini azimie?
mapenzi yameota mbawa siku hizi.Anampenda sana sema tu siku hizi si kama zamani enzi za ufalme/utemi. Enzi hizo mtemi akifariki lazima azikwe na mke (mke akiwa mzima anapumua). Lakini siku hizi mweeeeee!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums