Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
MZEE moja alifika kijiji flani akakuta
mtandao unashika vizuri.
Akamwandikia mke wake sms
aliyemwacha mjini.
Bahati mbaya alikosea namba akatuma
kimakosa kwa mtu mwengine ambaye ni mwanamke mfiwa (mjane).
Mjane huyo alipokea sms asome maana
bado watu walikuwa bado wanamtumia
sms za kumfariji na msiba.
Aliposoma sms palepale akazimia!!
mwanae alipoona vile akaisoma ile sms ambayo iliandikwa hivi:"MKE WANGU
MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA
SMS YANGU KWAKO.KUMBE HATA
HUKU NAKO MTANDAO UNAPATIKANA
KAMA HUKO.NIMEFIKA SALAMA NA
MATAYARISHO YA WEWE KUJA YAMEKAMILIKA HIVYO JIANDAE
HAITOFIKA WIKI IJAYO NA WEWE
UTAKUWA UMESHANIFWATA HUKU"
mtoto naeee palepale chaliiii.
Hata mimi nimezimia hapa hapa.
mtandao unashika vizuri.
Akamwandikia mke wake sms
aliyemwacha mjini.
Bahati mbaya alikosea namba akatuma
kimakosa kwa mtu mwengine ambaye ni mwanamke mfiwa (mjane).
Mjane huyo alipokea sms asome maana
bado watu walikuwa bado wanamtumia
sms za kumfariji na msiba.
Aliposoma sms palepale akazimia!!
mwanae alipoona vile akaisoma ile sms ambayo iliandikwa hivi:"MKE WANGU
MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA
SMS YANGU KWAKO.KUMBE HATA
HUKU NAKO MTANDAO UNAPATIKANA
KAMA HUKO.NIMEFIKA SALAMA NA
MATAYARISHO YA WEWE KUJA YAMEKAMILIKA HIVYO JIANDAE
HAITOFIKA WIKI IJAYO NA WEWE
UTAKUWA UMESHANIFWATA HUKU"
mtoto naeee palepale chaliiii.
Hata mimi nimezimia hapa hapa.