Mke wangu mjamzito hamu yangu ya mapenz imeamka isivyo kawaida

Mke wangu mjamzito hamu yangu ya mapenz imeamka isivyo kawaida

habr zenu wana
jf mimi katka
miez ya hv krbun hamu yangu ya mapenz imepanda sana na mke wangu ni mjamzto anakarbia kujfungua sjui nfanye nn mpka nafkria kununua madada poa il kutuliza mzuka wangu wa mapnzi

Peleka moto kama kawaida, kwani tatizo nini, ila taratibu kaka....itamsaidia hata kwenye uzazi wake....ni sehemu ya maboresho ya barabara....it is not a joke
 
kidogo nimepeta afueni kwa hiyo jokin yako maanake hata mi mwekundu nilivyokuwa natamani nikopiwe kwenye hiyo pm!!!!!!!!basi tu ila naomba iwe siri yako LOL(just joking tu ila sio siri nimechekaje kwa hiyo comment yako????????)
Nasikia harufu ya ushemeji hapa!!! Hapa naweza kuliotea swali lenyewe nina kipaji cha umbea hapa Madame B atakua kauliza hivi....."Kwani Hamidini umeoa"? Teh.... Teh.... Ha ha am just kidng LOL
 
Last edited by a moderator:
kidogo nimepeta afueni kwa hiyo jokin yako maanake hata mi mwekundu nilivyokuwa natamani nikopiwe kwenye hiyo pm!!!!!!!!basi tu ila naomba iwe siri yako LOL(just joking tu ila sio siri nimechekaje kwa hiyo comment yako????????)
hujakosea si kimesha jipa tayari?au hujui? tembelea uzi wa TELL YOUR MARITAL STATUS TO SOMEONE SPECIAL YOU LOVE OR HATE WHATEVER
yaani kwahili naweza itwa tu shekhe Yahya as i predicted
 
Mke anapokuwa mjamzito unatakiwa kuwa karibu sana na mkeo ili kuzidi kumjengea afya ya moyo wake. Halafu hicho unachokifikiria ni umalaya. Haufai acha kuwaza hicho. Fikiria mke wako na mwanao ajae.
 
haaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaa mwekundu mkororofi weye,mpaka uko tayari kuitwa kwa shekhe??????????sikuwezi mie ila chondechonde urefa mi ndo nimesomea likotokea la kutokea,usisite kuniita walau niwe tu refa.
hujakosea si kimesha jipa tayari?au hujui? tembelea uzi wa TELL YOUR MARITAL STATUS TO SOMEONE SPECIAL YOU LOVE OR HATE WHATEVER
yaani kwahili naweza itwa tu shekhe Yahya as i predicted
 
Last edited by a moderator:
Na bado akijifungua itabidi uutulize huo mzuka km miezi 3 hivi utadata kazi unayo
habr zenu wana
jf mimi katka
miez ya hv krbun hamu yangu ya mapenz imepanda sana na mke wangu ni mjamzto anakarbia kujfungua sjui nfanye nn mpka nafkria kununua madada poa il kutuliza mzuka wangu wa mapnzi
 
Acha hizo wewe unashindwa kuvumilia kiasi tu. Huko kwa madada poa utakutana na mabalaa tu.

Wanaume wengine sijui wana laana? halafu ukute huyo mke wake ni member humu na anaijua id ya mmewe
 
Umeongea ukwel huwez kumvunjia mkeo heshima ukalala na wadada poa but kuna staili nyepes za kufanya mapenz kwa mjamzto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom