Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
PM ina mhuri wa siri
^^
Last edited by a moderator:
habr zenu wana
jf mimi katka
miez ya hv krbun hamu yangu ya mapenz imepanda sana na mke wangu ni mjamzto anakarbia kujfungua sjui nfanye nn mpka nafkria kununua madada poa il kutuliza mzuka wangu wa mapnzi
Uandishi huu ni sijui wa ki facebook?back to the topic sasa inakuzuia nini usimgegede mkeo ?au mimba aliyonayo umebambikiwa?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwani we siyo mwanachama wa chama gani vilee mnakiitaga wenyewee....
si ufanye nae usiingize sana usije ukamtoboa mtoto sijui inaruhusiwa me bado.
Himidini...swali langu si la hadharani.
Nimelitupia Pm.
Madame B anataka kuchukua nafasiWeee...khaa!
Hii ni siri ya watu wawili tu.
No swali lake ni hili hapa. unafanya kazi gani? una gari? unatoka mkoa gani? ukinijibu maswali hayo kuna kitu nitakwambiaNasikia harufu ya ushemeji hapa!!! Hapa naweza kuliotea swali lenyewe nina kipaji cha umbea hapa Madame B atakua kauliza hivi....."Kwani Hamidini umeoa"? Teh.... Teh.... Ha ha am just kidng LOL
Nasikia harufu ya ushemeji hapa!!! Hapa naweza kuliotea swali lenyewe nina kipaji cha umbea hapa Madame B atakua kauliza hivi....."Kwani Hamidini umeoa"? Teh.... Teh.... Ha ha am just kidng LOL
Madame B anataka kuchukua nafasi
No swali lake ni hili hapa. unafanya kazi gani? una gari? unatoka mkoa gani? ukinijibu maswali hayo kuna kitu nitakwambia