TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,227
Obsessive compulsive disorderrafiki zangu wakija kwangu unajua ile mtu anagusa kitu kwenye dressing table halafu hakirudishii kilivyokuwa namaindi najikuta nishaenda kupanga, naambiwa nataka vitu vikae kama dukani kama ni logo za products zooooote zigeukie mbele..!!
Na Mungu alivyo, mchumba wangu anatupa vitu balaa, yaani nikiwa naye napata tabu naokoteza na ku re arrange kila sekunde, nilikuwa naongea mpaka imefika pahala naokoteza zangu, napanga hata sisemi tena..!!🙌
