Haya majina ya Edward si ya kuwapa watoto kabisa siku hizi. Kukatwa tu kila sekta.
Haya majina ya Edward si ya kuwapa watoto kabisa siku hizi. Kukatwa tu kila sekta.
Hahaha. Kausha bana. Mzima lakini?mhhh Paulo jaman y saying so lakini?
Hahaha. You too Tatty.Unanikoshaga weye!!!
Naitwa Edward toka Mwanya.
Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka4.
Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.
Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.
Haa haaa unaweza kutujuza uligundua vipi kwamba mimba si yako.
Naitwa Edward toka Mwanza.
Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.
Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.
Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.