Mke wangu kazaa nje ya ndoa, nifanyeje?

Mke wangu kazaa nje ya ndoa, nifanyeje?

Msamehe mlee watoto...mbona wanaume mnakuaga na watoto wengi sana nje
 
Naitwa Edward toka Mwanza.

Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.

Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.

Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.

Biashara ndo imeishia hapo. coz hata km ukimsamehe huyo mtoto atakaezaliwa itakuwaje?
 
Kobe-Bryant-face.jpg


Hehe sema taratibu bana, watakuja wengi ujue.
​

Etieee nimesahau, nikitaka kusema tena nitaliweka in close session.

Samehe bhureeee
 
Naitwa Edward toka Mwanza.

Nimeishi na mke wangu tuliyependana kwa dhati kwa mda wa miaka 4.

Tukabahatika kupata mtoto mmoja, kadri ya siku zilivosonga mimi nikienda kazini nae anatoka hatimae akapata ujauzito toka nje.

Jamani wanaJF wenzangu naomba ushauri.

Umejuaje mkuu?
Lakini kitanda hakizai haramu.
 
Kazaa au kapata ujauzito nje? Na umejuaje kama ujauzito huo c wako wakati unamdinya kila siku?

hiyo ndyo shida ya wanaume wenyew kuzaa nje ya ndoa ni sawa ila wenzao ss....kunya anye kuku akinya bata kahara.....alee tu mimb yake angoje mtoto
 
Hata na mie nataka athibitishe, maana wanaume wengine jamani wana vituko.

Either atuambie hakuwepo akakuta mtoto au tuseme yeye huko ndani anafanyaga nini mpaka wife akatafute mtoto nje ya ndoa.

ukinijibu hapo ushauri wangu utakuwa mzuri sana kwako.

Inawezekana hana uwezo wa kumdunga mimba.
 
Na Wewe Kazae Nje Ya Ndoa! Ili Mwende Sambamba! Sawa Sawa!
 
Back
Top Bottom