Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 755
Kwani hata kama unalala naye kila siku hawezi kuwa anachepuka?
Mbona kila siku haya mambo yanatokea...wake za watu kila siku tunaona wanaliwa na waume za watu kila siku wanakula nje ya ndoa na kuzalisha.
Nachomshangaa mimi ni kwamba, kama keshagundua kwamba mkewe alikuwa analiwa huko nje hadi kupewa mimba, anataka ushauri wa nini sasa?
Kitendo tu cha kusema mkewe kapata mimba nje ya ndoa, kina maanisha kuna walakini kwenye tendo la ndoa, ndani ya ndoa. Maana ni rahisi mkewe kumbambikia hiyo mimba ikaonekana ni ya kwake.
Ila kama, tendo la ndo ni la kusuasua, inapita miezi minne, hajamgusa mkewe, ni rahisi kusema kwamba mimba si ya kwake. Ndio maana nasema, kuna tatizo kubwa zaidi ya hili analoliombea ushauri hapa. Kuna maelezo anaficha.