Mke wangu kashindwa kunisitiri kaona aniaibishe

Aisee Juzi ilikuwa ni siku ya B.day ya mchipuko wangu ...basi nikaona nimuwish mchipuko wangu....kupitia wasap....nikaamua...kuchukua picha niliyopiga naye...nakuiweka dp ...then nikaandika hivi (Long life kipusa).
Sasa wife wangu kumbe ameiona .

Baada yakuiona iyo picha jana....hasubui...akaniuliza uyu kwenye picha ninani ! nikamjibu hivi wewe uwoni kuwa nimshikaji wangu! yeye akajibu kuwa rafiki yako anakufunga uzi kwenye viatu vyako...na Mimi nikasema...ndio...akasema basi sawa endelea ivyo ivyo.

Picha yenyewe ndo iyo nilioiweka kwenyr avatar yangu.

Sasa Jana jion baada yakutoka kazin nikamkuta wife wangu..yuko na mama mzazi wangu ...anamueleza kila kitu ..Kuwa Mimi simuheshimu ...alafu kila Jumapili nikitoka club usiku uwa ninakuja hereni za mchipuko wangu...
Then kamwambia kuwa naweza kuondoka nakurud nanukimia marashi ya wanawake..yaana kanikandia ile mbaya mbele ya mama mzazi.

Kiukweli mimi niliamua kukaa kimya ..kwasababu Mama ndiye aliyenipa nyumba ambayo naishi na Wife wangu.
Pia na gari ndogo mama mzazi ndio alinipa..mpaka chakura na mahitaji mengine ya muhimu ni yeye mama ndo uwa ananipa..Sasa ...yaani kiufupi mshahara wangu uwa nautumia kuweka mafuta...kwenye...gari...nakwenda club.

Basi Mama mzazi hasubui ya Leo kanipigia simu moja matata kuwa nisipojirekebisha...atanifukuza kwenye nyumba yake ...ili... afugie kuku...aisee kiukweli nimesonononeka sana.

Alafu Kanambia kuwa gari alilonipa ili niwe natemberea amesema Leo nilipereke kwake getin .Mbagara rangi tatu....sasa najiuliza izi show of zangu ndo zimefikia kikomo.au laha.

Mama yangu mzazi anauwezo mkubwa tu ...ila nashangaa kwanini kaamua kuninyanganya gari...au kwasababu huyu mwanamke yeye ndo alinitaftia?

Niko njia panda Ndugu zangu/ Tamaa mbaya...yote nimeponzwa namchipuko.
hasubui
chakura
mchipuko
uwoni
uwa
mbagara
alionipa
laha..................... kwanza ujifunze kuandika
halafu hii story yako ni ya kusadikika huna lolote
 
Maskini wanaume wanazidi kupungua kwa kasi kubwa saana, ivi huoni aibu mbele ya wanaume kusema kila kitu ananipa mama? umejipangaje ku run maisha yako na familia yako? kumbuka huyo mama nae ni binadamu na pia itafika time atahitaji kupumzika sasa kama ana mtoto kama wewe si ASARA hiyo,bora kukosa au tuseme wewe ni ndondocha? wacha niishie hapa ila jiongeze kijana kama unataka kua mwanamme tena fanya haraka sanaaa kabla huja chelewa..{Long Life Kipusa}
dada hii chai imepikwa na mtoto wa kiume.
 
Aisee Juzi ilikuwa ni siku ya B.day ya mchipuko wangu ...basi nikaona nimuwish mchipuko wangu....kupitia wasap....nikaamua...kuchukua picha niliyopiga naye...nakuiweka dp ...then nikaandika hivi (Long life kipusa).
Sasa wife wangu kumbe ameiona .

Baada yakuiona iyo picha jana....hasubui...akaniuliza uyu kwenye picha ninani ! nikamjibu hivi wewe uwoni kuwa nimshikaji wangu! yeye akajibu kuwa rafiki yako anakufunga uzi kwenye viatu vyako...na Mimi nikasema...ndio...akasema basi sawa endelea ivyo ivyo.

Picha yenyewe ndo iyo nilioiweka kwenyr avatar yangu.

Sasa Jana jion baada yakutoka kazin nikamkuta wife wangu..yuko na mama mzazi wangu ...anamueleza kila kitu ..Kuwa Mimi simuheshimu ...alafu kila Jumapili nikitoka club usiku uwa ninakuja hereni za mchipuko wangu...
Then kamwambia kuwa naweza kuondoka nakurud nanukimia marashi ya wanawake..yaana kanikandia ile mbaya mbele ya mama mzazi.

Kiukweli mimi niliamua kukaa kimya ..kwasababu Mama ndiye aliyenipa nyumba ambayo naishi na Wife wangu.
Pia na gari ndogo mama mzazi ndio alinipa..mpaka chakura na mahitaji mengine ya muhimu ni yeye mama ndo uwa ananipa..Sasa ...yaani kiufupi mshahara wangu uwa nautumia kuweka mafuta...kwenye...gari...nakwenda club.

Basi Mama mzazi hasubui ya Leo kanipigia simu moja matata kuwa nisipojirekebisha...atanifukuza kwenye nyumba yake ...ili... afugie kuku...aisee kiukweli nimesonononeka sana.

Alafu Kanambia kuwa gari alilonipa ili niwe natemberea amesema Leo nilipereke kwake getin .Mbagara rangi tatu....sasa najiuliza izi show of zangu ndo zimefikia kikomo.au laha.

Mama yangu mzazi anauwezo mkubwa tu ...ila nashangaa kwanini kaamua kuninyanganya gari...au kwasababu huyu mwanamke yeye ndo alinitaftia?

Niko njia panda Ndugu zangu/ Tamaa mbaya...yote nimeponzwa namchipuko.
Naamini hii post ni maskhara. Lakini kama kuna wazazi wanaolea watoto wao hivi, basi hata madudu yao kama haya wavumilie tu hamna namna!
 
Jifunye kufanya proof reading mkuu na jiepushe na kula kulaa we mwanaume bwana
 
Mume apewe nyumba
Apewe gari
Akeshe club
Nipo namwangalia tu...mxiiew
 
inabidi urudi shule ya msingi matombolo ukajifunze kuandika kwenye mistari mikubwa na midogo ukiwa mkubwa great thinkers wa humu watakusaidia tatizo lako
 
Aisee juzi ilikuwa siku ya kuzaliwa ya mchepuko wangu kupitia WhatsApp nikaamua kuchukua picha niliyopiga naye na kuiweka DP then nikaandika hivi (long life kipusa).

Sasa mke wangu kumbe ameiona. Baada yakuiona iyo picha jana asubui akaniuliza huyu kwenye picha ni nani? Nikamjibu hivi wewe uoni kuwa ni mshikaji wangu! Yeye akajibu kuwa rafiki yako anakufunga uzi kwenye viatu vyako na mimi nikasema ndio akasema basi sawa endelea ivyo ivyo.

Sasa jana jioni baada ya kutoka kazini nikamkuta mke wangu yuko na mama mzazi wangu anamueleza kila kitu kuwa mimi simuheshimu alafu kila Jumapili nikitoka club usiku uwa ninakuja hereni za mchepuko wangu.

Then kamwambia kuwa naweza kuondoka na kurudi nanukimia marashi ya wanawake yani kanikandia ile mbaya mbele ya mama mzazi.

Kiukweli mimi niliamua kukaa kimya kwasababu mama ndiye aliyenipa nyumba ambayo naishi na mke wangu.

Pia na gari ndogo mama mzazi ndio alinipa mpaka chakula na mahitaji mengine ya muhimu ni yeye mama ndo huwa ananipa sasa yaani kiufupi mshahara wangu huwa nautumia kuweka mafuta kwenye gari na kwenda club.

Basi mama mzazi asubui ya Leo kanipigia simu moja matata kuwa nisipojirekebisha atanifukuza kwenye nyumba yake ili afugie kuku, aisee kiukweli nimesonononeka sana.

Alafu kaniambia kuwa gari alilonipa ili niwe natembelea amesema Leo nilipeleke kwake getini Mbagala rangi tatu, sasa najiuliza hizi show of zangu ndo zimefikia kikomo au lah!.

Mama yangu mzazi anauwezo mkubwa tu ila nashangaa kwanini kaamua kuninyanganya gari au kwasababu huyu mwanamke yeye ndo alinitafutia?

Niko njia panda ndugu zangu/ tamaa mbaya yote nimeponzwa na mchepuko.
Acha ujinga mama amekupa nyumba, gari na mahitaji ya hapo nyumbani na mkeo yeye ndiye anayetoa wewe unafanya kazi gani? Mke yuko sahihi kupeleka kwa mama maana ndiye mfadhili wenu lakin ungekuwa wewe ndiye mhudumiaj wa Familia asingeenda mambo madogo tu ya mchepuko
 
Dah aisee kazi ipo...nakushauri usimpe mkeo mimba sasa hv mpka ukomae akili maana kwa hali uliyonayo halafu ukapata na mtoto doh hatari hicho kizazi
 
Back
Top Bottom