DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,362
- 83,363
Aisee juzi ilikuwa siku ya kuzaliwa ya mchepuko wangu kupitia WhatsApp nikaamua kuchukua picha niliyopiga naye na kuiweka DP then nikaandika hivi (long life kipusa).
Sasa mke wangu kumbe ameiona. Baada yakuiona iyo picha jana asubui akaniuliza huyu kwenye picha ni nani? Nikamjibu hivi wewe uoni kuwa ni mshikaji wangu! Yeye akajibu kuwa rafiki yako anakufunga uzi kwenye viatu vyako na mimi nikasema ndio akasema basi sawa endelea ivyo ivyo.
Sasa jana jioni baada ya kutoka kazini nikamkuta mke wangu yuko na mama mzazi wangu anamueleza kila kitu kuwa mimi simuheshimu alafu kila Jumapili nikitoka club usiku uwa ninakuja hereni za mchepuko wangu.
Then kamwambia kuwa naweza kuondoka na kurudi nanukimia marashi ya wanawake yani kanikandia ile mbaya mbele ya mama mzazi.
Kiukweli mimi niliamua kukaa kimya kwasababu mama ndiye aliyenipa nyumba ambayo naishi na mke wangu.
Pia na gari ndogo mama mzazi ndio alinipa mpaka chakula na mahitaji mengine ya muhimu ni yeye mama ndo huwa ananipa sasa yaani kiufupi mshahara wangu huwa nautumia kuweka mafuta kwenye gari na kwenda club.
Basi mama mzazi asubui ya Leo kanipigia simu moja matata kuwa nisipojirekebisha atanifukuza kwenye nyumba yake ili afugie kuku, aisee kiukweli nimesonononeka sana.
Alafu kaniambia kuwa gari alilonipa ili niwe natembelea amesema Leo nilipeleke kwake getini Mbagala rangi tatu, sasa najiuliza hizi show of zangu ndo zimefikia kikomo au lah!.
Mama yangu mzazi anauwezo mkubwa tu ila nashangaa kwanini kaamua kuninyanganya gari au kwasababu huyu mwanamke yeye ndo alinitafutia?
Niko njia panda ndugu zangu/ tamaa mbaya yote nimeponzwa na mchepuko.