Mke wangu kapata bwana Instagram

Mke wangu kapata bwana Instagram

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Habari zenu,

Najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.Yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake akaja akaiuza kwani ilikuwa inajizima na istack akarudi kwenye tochi nikaona afadhali tukakaa miezi kadhaa akawa hana simu.

Sasa dada yake akaja akamnunulia simu pana kubwa hapo ndio balaa ilipoanzia yaani amekuwa mgonjwa wa simu yuko instagram kila saa hadi usiku ni huko huko hakuna cha mapenzi wala nini salama labda iishe charge na umeme uwe umekatika.

Nina siku 14 na zaidi hakuna cha mapenzi wala nini akishapika anaingia kwenye simu,mume wake amekuwa simu hasa instagramu.

Sasa nifanyeje?
 
Ichukue uindumbukize kwenye maji...afu pretend ni bahati mbaya....

Then, kamnunulie Tochi na mpige fix utamnunulia smartphone ingine...then unakuwa mtu fix tuuu...lazima akupe tamuu
 
chukua simu yake iHIDE hiyo app ya instagram
 
Ila kiukweli haya madude aka masmart fone yamewachanganya sana wadada wamekuwa kama vichaa yaani kwakuwa wanapenda umbea na udaku basi huko ndio kila kitu
 
Kaza mwanaume umalegea wenzako wanamchukua kuwa Kama MUGABE
 
Mtafutie mke mwenzake awe anakuweka busy.
 
Back
Top Bottom