Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
😅😅😅😅 lol.
Ukiona amesita sita namna hiyo jua na yeye pia ana makando kando. 🏃♂️
Chaa!anatuchosha tu...mkuki kwa binadamu!
😅😅😅😅 lol.
Ukiona amesita sita namna hiyo jua na yeye pia ana makando kando. 🏃♂️
Ekzagtiliy. Teh tehChaa!anatuchosha tu...mkuki kwa binadamu!
Si umeona pacha eheeeee acha apambanie ndoa yakeNakazia Pacha. Kumshauri kuachana naona sio sawa pia.
Pacha hakuna washaur wabaya wa mahusiano kama kwenye mitandaoEkzagtiliy. 😅😅😅
Tena ukiangalia hao wanaume wanaomshauri mwenzao amuache mke wake na wao wanakutana na changamoto kama hizo ila wanaishia kuzimaliza na maisha mengine yanaendelea.
Kabisaa Pacha na miaka kumi na tatu ya ndoa si kitu kidogo.Si umeona pacha eheeeee acha apambanie ndoa yake
Sahihi Pacha sababu kuna wengine wanachukulia ndoa ni jambo dogo kumbe sivyoPacha hakuna washaur wabaya wa mahusiano kama kwenye mitandao
Hakika na kama hapa kikubwa mleta uzi aangalie tu wapi furaha yake itapatikana.Sio wotee watakaokushaur uzur wengi wao wanasema hili lkn kwenye mahusiano yao wako vile anakwambia muache lkn kama ulivyosema yy anapiga got kusawazisha kwake ww unayabeba kama yalivyoo
Gud hilo ndio la maana akisema afate yote ya hapa shaur zakeSahihi Pacha sababu kuna wengine wanachukulia ndoa ni jambo dogo kumbe sivyo
Hakika na kama hapa kikubwa mleta uzi aangalie tu wapi furaha yake itapatikana.
Yah!Gud hilo ndio la maana akisema afate yote ya hapa shaur zake
Mdudu huzaa mdudu so mawe ni mdudu.Wewe unaonekana mstahimilivu sanaa hao wa Dudu hawajifunzi kabisa wala usipoteze mda eti atajirekebisha kabisa zawadi nzuri tafuta mkaa gunia mbili tu .
Kuna watu mnajua kuwaza uhalisia!Huyu jamaa inawezekana mama yake anafahamu kinachoendelea na amekipa baraka na inawezekana hao watoto wote si wake ni wa huyo ndugu yake inawezekana jamaa hawezi tia mimba ndio mama yake akajiongeza. Maana haiingii akilini kabisa utoe talaka kwa sababu ya uzinzi mama yako amchukue wife akakae nae!!??

Mimi ni mdudu sawa ila sio mdudu tata kama hiyo midudu haisikii wala kutafakariMdudu huzaa mdudu so mawe ni mdudu.
Mkuu, piga chini huyu mwanamke hawezi kuacha hiyo tabia, we fikiria miaka 8 still bado anachepuka na huyo mtu wake,Miaka 13 iliyopita nilikuwa na mahusiano na Dada mmoja ambaye Leo hii ndio mke wangu lkn kabla sijamuoa tulipata mtoto mmoja kipindi napanga tufunge ndoa.
Ndugu zangu wakanitonya kuwa huyu wife anatoka na mtoto Wa Shangazi yangu na huyo first born wangu ni mtoto Wa huyo jamaa na mtoto wa yule ndugu yangu wanafana na first born wangu ktk kuchunguza sikujua ukweli nikapotezea nikaoa mpka sasa tunawatoto wawili huyu Wa sasa ni mm mwenyewe.
Tatizo limeanza nililonalo ambalo naomba mnishauli ni kuwa miezi miwili iliyopita nilisafiri kikazi wkt nipo mkoani wife alinipigia cm kuwa yule ndugu yangu kuna mzigo anamletea nikamwambia poa sasa nikiwa airport kuna jamaa yangu akanambia kamuona wife yupo maeneo usiku Wa sa5 na jamaa anamjua wife vizuri hawezi kumfananisha sikutaka kumpigia cm nilivyoludi dar nikamuuliza akabisha.
Nilipochukua cm yake nikakuta mwasiliano na yule ndugu yangu ambaye niliambiwa jamaa anamtafuna na hata first born wangu ni wake cm kama 8 za kufatana kumhoji kasema jamaa alipiga iliampe ulemzigo alikuwa anamuelekeza kuna mtu kampa amletee wife machale yakanicheza nikafanya nachokijua nikapata ukweli Wa Yale maongezi kumbe jamaa wanaelekezana na wife waonane wapi.
Then wanapnga jamaa aseme hayupo dar na mbaya jamaa kumbe anaiita mm taahira ananipigia cm ananiuliza akijua Niko wapi wanapanga na wife jinsi ya kunidanganya sababu huyu jamaa anaishi Arusha niliwaita wazazi wangu na wakwake mpka kwenye kikao wife aliapa miungu kuwa hakutoka nilipokuja kuwasikilizisha Yale maongezi wote walikaa kimya mpaka wife akaishiwa LA kuongea.
Mzee nikatoa talaka2 lkn wife na mamaangu ni marafiki kwahiyo mama kamchukua mkwewe anakaa nae mpaka EDA iishe waislamu ukiacha ndani ya miezi 3 unaweza mludia mkeo naombeni ushauli.
Mwakani nampango Wa kwenda kuishi Europe kwa muda sasa nawaza huyu mtu nikimludia nikamuacha home sindio itakuwa nimempa Uhuru Wa kufanya yake bora kila mtu aangalie maisha yake na hata nikiwa Europe niishi bila presha ya mke huku nyumbani tusaidiane mawazo wakuu kichwa kinanivuluga maana cjui nichukue uamuzi gani
Km ww ni msafi usisamehe..km ww u mchafu una makando kando samehe!!mkuki
![]()
Mume??Hapa akisamehe kwa kweli ntaungana na ndugu yake kumuota taahira, wooooiii mke kuchepuka inauma sana
Familia nyingi haziko imara kumbe wababa ndio tatizo!Hujatendwa wewe na hata kama bado hujanifunza!
Ukiona familia flani ipo imara au inaheshimika
Tambua baba anauhusika 100%
Vodacom Kazi ni kwako!
Mume??