Mke wangu kanishauri nioe nyumba ndogo

Mke wangu kanishauri nioe nyumba ndogo

young sood

Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
45
Reaction score
2
Wadau,

Ni mwaka wa nne sasa toka nmeoa, lakini mpaka sasa sijapata mtoto na tumezunguka kwa madaktari kibao.Ttatizo kagundulika analo mke wangu hawezi kuzaa. Sasa wadau mimi natamani sana kuwa na mtoto na mke wangu kasha niruhusu nyumba ndogo.

Nifanyaje ukizingatia kipato ndo ivo tena?
 
sasa kama kipato ndo hivyo tena...unahitaji ushauri gani?
 
Sie waafrika tumezidi, kama ni watoto hata mbwa anao. Kaa na mkeo mwikubali hiyo hali muishi maisha ya furaha na amani. Katika unamwamini Allah kwa nini usiamini hicho kikombe kakupangia.

Majibu mepesi sana hayo kwa issue serious kama hii.
 
tatizo lake nn hasa? usiwe mwepesi wa kukimbilia nyumba ndogo hivyo,,,, na nyumba ndogo na yeye ukimkuta yuko hivyo?
 
c ulikubal utamvumilia kwa shida na raha km kiapo sasa shida nn vumilia tuu ulifikir shida ni kulala njaaa??hizo nd shida zenyewe kk
 
young sood

Sasa kwakuwa mkeo amekubali basi muombeni mungu atawaongoza kupata mke mwema mtakayeishi nae kwa amani,furaha na ushirikiano
 
Last edited by a moderator:
Majibu mepesi sana hayo kwa issue serious kama hii.
Hii sio issue serious kama unavyotaka iwe. Dunia siku zote huwakumbuka watu waliochangia kuifanya dunia kuwa sehemu salama zaidi kwa maisha. Kuzaa ni jambo la kawaida sana na mara nyingi ni kipaumbele kwa jamii za watu duni (maskini). Ndio maana utashangaa nchi kama za Scandinavia zinatoa motisha kwa raia wake ili wazae. Wao hawana "hamasa". Sisi tulio maskini kwa uduni wa fikra fahari ni kuwa na watoto hata kama uwezo hauruhusu.
 
Back
Top Bottom