Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

kwani mna watoto wangapi jikite katika kuijali familia usiweke kinyongo nae yeye mwenyewe atabadilika na kuanza kukupa mzigo kama kawaida
 
Mkuu Pole sana ila kuwa makini coz Mke wako akifikia stage ya kukunyima tendo la ndoa bila sabubu ya msingi sio hishara nzuri, kaa nae tena na tena chini ongea nae vizuri ujue what the proble!! Ili msameheane maisha yaendelee..ikishindikana plan b kama uchumi yani kipato chako na dini yako inaruhusu ongeza mwingine. Kama yeye ayataki maelewano Mkuu.
 
Mnunulie dhahabu kama anapenda
 
usimusumbue kakunyima utamu piga kimya bro silence treatment ukimukomalia sana atakuona weak tafuta hata muchepuko mukule sijui unafeli wapi bro huitaji akili nyingi kushindana na mwanamke akili kidogo tuuh
 
"Ukaongea nae juu ya safari na returns zote ulizopata". Hapo kuna few issues

1. Pamoja na kutoka kwenye safari yenye mafanikio, ulikumbuka hata kumnunulia wife zawadi? Kwa wanawake this is a big deal!
2. Kuna kitu wife keshaomba sana wewe umekataa wakati yeye anaona kipo ndani ya uwezo wenu. Mfano mtaji wa biashara, aliomba furniture mpya, shule anayotaka mtoto aende, kuhamia makazi mengine, kusaidia kwao etc. So anaona uwezo upo ila hana say kwenye hiyo returns.
3. Yawezekana humshirikishi kama mke kwenye plan za maendeleo rather unampa tu feedback kama hivyo ulivyotoka safari. Na pengine kuna mipango amekusikia umediscuss na ndugu zako huku yeye hujamwambia.

Wewe ndio unajua vizuri tabia ya mkeo. Kama hana tabia ya kununa nuna, basi kuna kitu kati ya hivyo kimemsibu, au kingine kabisa, fikiria tu. Wanawake revenge yao ni kwenye tendo la ndoa. Kunyimwa tendo la ndoa ni kawaida sana kwenye ndoa. Haimaanishi anachepuka. Halafu ni mwaka wa kwanza wa ndoa ndio sex hua ni priority kwa wanawake. Kuanzia mwaka wa pili na hasa akipata mtoto kwa operation wengi wao sex sio priority tena. Ni wachache mno hurudi kwenye normal sex life.
Wewe mpe wife siku mbili tatu atafunguka tu. Endelea kutimiza majukumu mengine ya familia kama kawaida. Na yeye anao wajibu wa kuendelea kutimiza majukumu mengine ya familia. Mke mwenye busara ya chumbani hua yanaishia huko huko chumbani.
Mwisho wa siku wewe ndio kichwa cha familia. Ni wajibu wako kujua tatizo ni nini, and how to fix it.
 
Kwa lengo la watu kujifunza tafadhali share nasi juu ya shida ilikua nini na ulitumia njia gani kutatua?

Ninafahamu muda mrefu umepita (almost 4years) but kama unawezapata kumbukumbu yake tafadhali share nasi mkuu ili kwa wale wanaopitia the same situation wapate kujifunza jambo.
 
Mkuu make spy maana kutokana na maelezo yako itakuwa kunamaneno kuambiwa yaweza kuwa mambaya juu yako ama kuna dume limemkunja kipindi umesafili dume likamjaza sumu ama show za dume zilkuwa za kishindo " pengine wewe sikuzote ni mpapasaji " Ushauli fanya uchunguzi kwa kina .
 
Ni kawaida hayo! Wewe kuwa mpole tu atafunguka.Tena kwa staili hiyo uliyofanya ya kujifanya uko bize na mambo yako,atajileta tu.
 
Inabidi ujiulize,je ni mara ya kwanza inatokea au ameshazoea?ni kawaida yake?
Kama ni mara ya kwanza tulia ujue chanzo as wanawake kuwa hivyo lazima kuna sababu
Ila kama kashazoea basi hana hisia nawe tena ujue unasaidiwa yan ndoa imevamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…