Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Kupunguza hasira zako ktk kipindi hiki cha mpito jaribu kuwa karibu sn na house girl usije ukakosa hata wa kukufulia nguo.
 
Ukitoka safari jambo la kwanza ni kuingia bed room na kumwita mkeo then umkiss kiss
ufanye kimoja ndo uendelee na majukumu mengine, vinginevyo tunajuwa kuwa umelala
kwa mwanamke mwingine;
Mamdenyi.... hata nikirudi safari saa nane za usiku lazi a nikupekimoja kwanza kabla ya mengine yote?
 
MKEO AKUNYIME NA TENA ANAKUWAMBIA USINISUMBUWE HIVI KWELI YAPO AU STORY KWANZA ANAANZAJE YAAN KAMA MIE UJINGA HUO ANILETEE KESHO ASUBUHI KWAO WALLAHI ASISUBUTU NA SIJARIBIWI .
 
Ni kweli wanawake tunachangia sana wanaume kuchepuka. Mama simama kwa ajili ya familia yako dharau,majivuzo, kebehi na jeuri ziache mlangoni.
Ukiingia ndani kuwa mpole

Yaani i wish niwe natoa semina ingawa bado sijaingia kwny iyo taasisi..
Ni rahisi sana kuhubiri hayo unapokuwa nje ya taasisi husika.
 
Haya mambo hutokeaga,MTU mzima dawa,hizo ni changamoto we Fanya kazi na mazoezi ili upate pumzika baada ya kazi,ni mambo ya kupita na uelewe wanawake wengi hupenda mambo ya kuambiwa,pengine kuna umbea kaambiwa unampa kiburi,au labda mgonjwa we subiria.
Ukitaka kujua mengi yatakupa stress
 
Wana MMU,

Hasa mlio katika ndoa nishaurini jinsi ya kukabili jambo hili liishe.

Iko hivi, mke wangu na mimi tumekuwa tukiishi vizuri tu sasa yapata week moja nzima iliyopita nilikuwa kwenye mihangaiko nje ya Dar. Nilirudi siku ya Jumapili asubuhi nikajiandaa haraka na kwenda Church.

Niliporudi home nikala chakula na ndugu zangu tukawa tunaongea hadi jioni sana wakaondoka. Basi baadaye nikamfuata wife chumbani nikamueleza jinsi nilivyomu miss n.k cha ajabu nakuta kanuna tu from no where basi nikakaa naye nikawa naongea naye politely juu ya safari yangu na nikamuonesha returns zote nilizopata etc.

Baada ya chakula cha usiku tumekwenda kulala mwenzangu akaninyima unyumba tena kwa maneno ya kejeli na dharau fulani hivi na majibu ya mkato juu. Nilijaribu kuwa humble na kumuuliza wapi nimekosea lakini jibu lilikuwa hakuna tatizo lolote. Mwishowe alinijubu kuwa nisimsumbue nimuache alale. Ikabidi niwe mpole nilale yaishe.

Asubuhi ilinibidi niondoke tu kurudi kwenye mihangaiko yangu. Tangu siku hiyo hata leo hanitafuti wala chochote kile yupo kimya tu. Katika kuwaza waza nimeona kuwa pamoja na kuomba juu ya hali hii let me do my job and fulfill my part kama baba mwenye nyumba mengine niache kwa muda nione kama atajifunza au la. Sitachepuka kwani am done with michepuko pia sitamuomba unyumba for sometime. Asipojirudi kwa muda fulani nitapanga kuwaelezea baadhi ya ndugu zake kuhusu yeye ili wamwelekeze.

Swali langu ni Je, will that cure the problem? Wewe mwanaume/mwanamke ulishakumbwa na hali kama hii na je ulisolve vipi?

(Wanawake muwe makini sana na jinsi mnavyobehave kwenye ndoa zenu mnachangia sana wanaume kuchepuka bila kudhamiria na mnaharibu nyumba zenu kwa tabia kama hizi)

NB: Jisikie huru kuchangia chochote.
Hii ni moja ya Advantage ya kuoa mwanamke mmoja

Zipo advantage nyingine nyingi za kuoa mke mmoja utaziona endelea kuwa naye tu

Mfano iko siku atamsikia akisema ili dume si life tu au unaomba papuchi atakwambia uende kwa vimada wako

Tuangalie na advantage za kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja
1.Utachagua ule papuchi ipi
2.Itakupa mzuka wa kupiga gemu kwa ufanisi
3.Inadhihirisha urijali
4.Inaondoa kero kama hii uliyoleta huku we kunyimwa papuchi unalia lia huku utazani papuchi zimeisha
 
Huenda mwenzangu yeye ni tofauti kwake yani hata kupokelewa mizigo sikupokelewa but nilikuwa positive tu nilienda hadi ndani na baadae jioni nikaona hadi mahesabu ya Biashara niliyoifanya plus romantic words how I missed her but niliambulia dharau na negative response. Wewe ni mzoefu wa ndoa what do you suggest?
Kaka nina imani huyo mkeo atakua ni mchaga maana nazijua tabia za wanawake wa kichaga dharau na visa na mikasa hua haviishi kwao.
 
Back
Top Bottom