Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

Mh huyo mkeo anawezaje kumuamini shoga yake hivo,,we mwenyewe unajua
uyafanyayo si sawa,,mwambie mkeo kila kitu na umuombe msamaha mtafute suluhisho.
Hao watoto unawalea kwenye mazingira gani??

Tatizo mke wangu ukianza kuzungumzia kuhusu safari zake anakuwa mkali kama pilipili, yaani hataki kabisa kusikia. Chanzo cha kumleta shoga yake ni pale nilipolalamika kuhusu malezi ya watoto na kazi za ndani kama kupika kufua nakadhalika, mie kuna wakati narudi usiku nyumbani na watoto wetu wawili wako under 10 years. Nilimshauri tutafute msichana wa kazi akakataa kabisa akidai eti atawaharibu watoto wetu na hawaamini sana wasichana wakazi kwa kuwa wengine ni washirikina. (Tuliwahi kuwa na msichana wa kazi hapo nyuma akashikwa nyumba ya jirani akiwanga). Basi tangu siku hiyo hataki kabisa kusikia habari ya msichana wa kazi.
 
Umenifurahisha sana kwa jibu zuri sana mkuu Nivea hivi kuna mitambo bado haijazimwa 2013?
Hii nayo ni akili ya kianalogia mkuu hukuizima na mitambo yake tare1/1/2013 ass sita kamili usiku?? Pole sana kama umeingia nayo mwaka huu.UNAKWENDA NAYE PEKU AU NA KINGA? NA JE UMEPIMA???? MKEO KUNA JAMBO ANAKUFICHA KESHAOLEWA HUYO NDUGU YANGU BADILI AKILI YAKO IFIKIRI KIDIGITAL ZAIDI NDUGU ACHANA NA NANLOGIA .
 
Mke naye huko aendako analiwa kinoma
Ndio sababu hataki uende naye:
Katika hizo semina (sinema), kongamano (gonga mama), warsha (washa uzinzi) na mikutano (katika guest house).
Ili usilalamike ndio sababu akakuletea shoga yake ambaye tayari amempima ngoma akawa hasi.
Chapa mzigo qa qenda mbele acha kumfikiria mkeo;
Mkeo naye hakufikirii anamfikiria jamaa yake anaye-mla-witi;
Ukitaka kuamini hebu muombe au jifanye umekosea uone kama atalalamika.


Bazazi!
​
 
Tatizo mke wangu ukianza kuzungumzia kuhusu safari zake anakuwa mkali kama pilipili, yaani hataki kabisa kusikia. Chanzo cha kumleta shoga yake ni pale nilipolalamika kuhusu malezi ya watoto na kazi za ndani kama kupika kufua nakadhalika, mie kuna wakati narudi usiku nyumbani na watoto wetu wawili wako under 10 years. Nilimshauri tutafute msichana wa kazi akakataa kabisa akidai eti atawaharibu watoto wetu na hawaamini sana wasichana wakazi kwa kuwa wengine ni washirikina. (Tuliwahi kuwa na msichana wa kazi hapo nyuma akashikwa nyumba ya jirani akiwanga). Basi tangu siku hiyo hataki kabisa kusikia habari ya msichana wa kazi.
Kula mzigo Kikubwa mpime afya zenu
 
Tegelezeni;; Kula kila kitu Mkuu................labda ni wewe ndiyo hauwezi..............kanyaga Mkuu ujue siku zote kila kimlacho mwenzie hakika kina njaa!!!

Haya yote kahyataka mwenywe mkeoooo!!!!!!!!

Akija kushtuka bila shaka itakuwa ngoma ni droo na ndipo atalia na kukenua bila ya majibu!................Kha ha ha ha haaaaaa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kweli unawafahamu, yaani kabinti kanayajua mambo kama nini.
Kaminifanya nisimtamani kabisa mke wangu.
Wakati ule nasoma Primary school tulikuwa na mwalimu katokea songea basi alikuwa akikataa mauno wakati wa ngoma za utamaduni, ndo nikawajua kama wagoni ni balaa, sijawahi kuzini nao usizani mimi ni mzinifu kama wewe.

Pole sana kutoka nje ya ndoa, yani nakuonea huruma sana kwa kujidharuulisha, umepoteza heshima yako yote ulio kuwa nayo toka mwanzo kwa kupenda viuno vya wizi.


Imagine mfano we ni manager wa bank una mshahara mzuri afu unaenda iba, ndo kama wewe ulikuwa na mke wako mzuri ambaye anakuamini mpaa anakuleta shoga yake akuhudumia wewe umesahau yote hayo kwa tamaa ya kijinga, na sasa ume jidharaulisha kwa shoga ya mke wako...na kumbuka mke wako yuko njiani kukudharau pia :biggrin1:
 
Mke wangu amejiunga na VICOBA na pia NGO moja ya mambo ya kuwawezesha wanawake kibisahara. Amekuwa akisafiri mara kwa mara kwenda mikoani kwenye semina za hiyo NGO yao. Nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hiyo tabia yake mpaka tukapelekana kwa wazazi na akaahidi hatosafiri tena.Miezi miwili iliyopita amenijulisha kwamba amepewa cheo kwenye NGO yao na atalazimika kusafiri sana hivyo kuna shoga yake ndiye atakuja kunipikia na kulala hapo nyumbani kila akisafiri ili kunihudumia mimi na watoto. Nilipinga sana wazo lake lakini akasema hawezi kuacha kusafiri kwa sababu anapata marupurupu kwa ustawi wa familia jambo ambalo si kweli maana tangu ajiunge na hiyo NGO sijaona lolote la maana zaidi ya mavazi ya gharama anayojinunulia. Tatizo hataki hata siku moja nitembelee NGO yao wala nisafiri naye, mie ni mtumishi serikalini, lakini siwezi kunyimwa hata ruhusa ya wiki moja ili nisafiri naye.Mabishano yetu hayakupata muafaka na matokeo yake siku aliposafiri, shoga yake akaja pale nyumbani na kufanya shughuli zote zipaswazo kufanyw ana mke na niliporudi usiku nilimkuta sebuleni akinisubiri. Aliniandalia maji ya kuoga na kisha chakula na wakati nakula alikuwa amekaa pale sebuleni akiangalia TV huku tukizungumza.Tuliishi hivyo kwa wiki nzima hadi mke wangu akarudi na yule shoga yake aliondoka na kurudi kwake. (Huyu dada hajaolewa ila amezaa na jamaa flani huko kwao Songea na mtoto yuko kwa wazazi wake. Hapa mjini anaishi peke yake akijishughulisha na biashara ya kukopesha nguo za kike). Mke wangu aliniuliza kama shoga yake hakumuangusha, yaani alikuwa anaihudumia familia vizuri, nikamjibu kwamba hakuwa na tatizo.Wiki mbili baadaye mke wangu akaaga anasafiri tena kwenda Dodoma kwenye semina na atakaa kule kwa wiki mbili, hivyo shoga yake atakuja tena kukaa pale nyumbani hadi atakaporudi. Sasa wiki moja tangu mke wangu aondoke tuliishi vizuri tu, lakini wiki ya pili huyu bibie kaanza kunitega na kama mjuavyo wanawake wako smart sana, nilijitahidi sana kukwepa mitego, lakini sikufua dafu, akanidaka tena ilikuwa sebuleni watoto wote walikuwa wamelala. Naomba nikiri kwamba huyu mwanamke alikuwa ni hodari kweli kweli maana nadhani alikuwa anajua ninachokikosa kwa mke wangu. Tangu siku hiyo alikuwa analala chumbani kwangu mpaka alfajiri ndio anarudi chumbani kwake. Mke wangu aliporudi nilisikitika sana, maana nilitamani asafiri tena, kutokana na kunogewa na penzi la shoga yake. Hivi sasa tumeendea kukutana mara kwa mara maeneo ya mbali na huyu shoga wa mke wangu na kwa kweli ameniteka kabisa yaani namuwaza wakati wote na nimejikuta nikiwa simtamani mke wangu kabisa.Lakini cha kushangaza mke wangu wala hajanishitukia na amekuwa akimuamini sana shoga yake kupita kiasi na siku hizi huwa anasafiri mara kwa mara tena huwa anakaa wiki mbili kila akisafiri na huyo shoga yake ndio kawa kama mke wangu, yaani kama dini yangu ingekuwa inaniruhusu ningemuoa awe mke wa pili. Hebu wana JF niambieni, hivi mke wangu akijua atanilaumu kweli?
Pole sana ndugu yangu, binafsi siwezi kukulaumu sana kutokana na hayo mazingira uliyoyaeleza kama yote yatakuwa ni kweli, lakini pia sidhani kama njia unayotumia ni nzuri sana, kwani tunaweza kusema mara ya kwanza uliangukia misri, lakini inaonekana bado hukutaka kuinuka na kuelekea kanani.Mimi ningekushauri achana na huyo uliyo letewa kaa vizuri na mkeo angalia kiundani je ni kweli ni shughuli za NGO au ndo naye ana NGO nyigine, kitu kingine yeye kama mama wa familia anatumia muda wote huo mbali na wewe pia mbali na watoto halafu haonyeshi kipato chake kusaidia familia zaidi ya yeye kununua nguo za gharama je hiyo kazi ina masla kwa familia?Pia inaonekana ni insensitive, hajali hisia zako ndo maana yupo tayari alete mtu mwingine ilimradi 2 yeye asafiri, kama angeteka mngekaa pamoja mjadili na kuona ni mtu gani atatekeleza japo baadhi ya majukumu wakati yeye hayupo, vilevile hili ni funzo kwa akina dada kujali ndoa zao wakati wewe unaachezea kuna watu hawajawahi onja ndoa.
 
Umenifurahisha sana kwa jibu zuri sana mkuu Nivea hivi kuna mitambo bado haijazimwa 2013?

SI NDIO MITAMBO HIYO HAPO JUU sasa ukirudi nyumbani mwambie Thanda akufundishe jinsi ya kumention mtu kwenye thread au quotes nitafurhi sana kama ukianza kunimention mimi .hebu jaribu hivi ukitaka kumention mtu weka herufi @ then neno bila kuachanafasi yaani unabananisha hako ka @ na id yangu ya nivea bila kuacha nafasi automaticaly naipata quote yako
 
Last edited by a moderator:
halafu we mzee tegelezeni kama sura yako naijua!we sio jirani yangu kweli?

anyway,kwa vile umeshaharibu nikupe siri ndogo ya kumuacha mwanamke aliyekwisha uteka moyo wako,kuanzia sasa anza kutafuta mabaya yake na mapungufu yake,utayaona na ukianza kuyaona utashangaa moyo wako unavyoanza kum-delete!tatizo lako we unawaza kiuno tu anachokupa!

hatari inayokunyemelea soo far naotea unapofanya nae mapenzi hutumii kinga(kwa vile hamkujipanga),sasa unazungukwa na hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa na lile gonjwa nguli ukimwi,pili utamtia mimba binti wa watu na hapo ndipo upande wa pili ulio mchungu utakapoanza kuuona na hakika UTAJUTA SANA
 
"Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake" Nukuu hii nadhani kwa mkeo ndio imetimia
 
Pole sana mkuu Tegelezeni ujue sisi wanaume ni WADHAIFU sana aiseee..
Wewe endelea tu na huyo shogaake wala usiache, mkeo akikukamateni mwambie kama nilivosema hapo juu sisi wanaume ni WADHAIFU....I hope atakusoma tu...Naona unadumisha Nje Cup!
Nilisahau..heri ya mwaka mpya bana!
 
Last edited by a moderator:
Pole mkubwa,

Kwanza huna mke,

Pili mkeo naye hana shoga.

Kwa ujumla hiyo pembetatu ya mapenzi haikufai
 
Wale walishayamaliza na sasa wanaenda sawa, ila na mie nina kimeo nyumbani kwangu hata sijui nitaondokana vipi na huyu ibilisi
hapo ndipo utakapojua kwamba maisha hayana kujaribu.
 
Hivi bado tu unaongelea dini wakati hakuna dini inayo ruhusu kuzini nje ya ndoa.

Mgoni huyo mana hao kwa viuno, kama wamakonde.

Pole sana.

Mkuu katika kila dini kuna imani mbili, ile ya kumtii Mungu kwa unyenyekevu na ile ya kuwaogopa watu wasikuone ukifanya mabaya.
 
Mke naye huko aendako analiwa kinoma
Ndio sababu hataki uende naye:
Katika hizo semina (sinema), kongamano (gonga mama), warsha (washa uzinzi) na mikutano (katika guest house).
Ili usilalamike ndio sababu akakuletea shoga yake ambaye tayari amempima ngoma akawa hasi.
Chapa mzigo qa qenda mbele acha kumfikiria mkeo;
Mkeo naye hakufikirii anamfikiria jamaa yake anaye-mla-witi;
Ukitaka kuamini hebu muombe au jifanye umekosea uone kama atalalamika.


Bazazi!
​

hahahhahhaha! Bazazi kweli uko likizo. hebu niambie utarudi kazini lini?? manake hapa utatufanya tufe kwa vicheko lol!

haya hayo ndo uliyotohoa kwenye majina hausika?? mikutano( katika guest house), warsha ( asha uzinzi), semina( sinema) kongamano(gonga mama) sosi Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom