Mke wangu kanifokea sana

bado kipigo..............
 
Siku utakuja mpa beki tatu boxer afu useme mkeo kasafiri, kubali ulitenda kosa bila kudhamiria ili yaishe.
 
Kwa nn ufokewe mwanaume l?muonye asiludie tena hata kama umekosea mwanaume hambiwa kwa upole kaka waga hatifokew na wanawake aise ni fedheha
 
Kama umekosea asikufokee kwa nini? Labda kama ni mbele za watu au watoto.
 
Stahmili kama umeliona ni kosa basi omba msamaha,la ni jambo la kawaida Dada kukufulia ni sawa tu, na wewe unanichekesha lakin kufokewa unataka ushauri angekupiga vibao? lol.........
 
Nyie wanaume wa mikoani maboya kweli sasa huyo ni mke wako au mume wako?!
 
sio vizuri kumpa taulo beki 3 afue isitoshe hilo hilo taulo huwa mnatumia kufutia futia mananiii usiku ndio maana mkeo alimaindi
 
Inabidi upinduliwe wewe hustahili wadhifa mkubwa kama huu.

 
We ni mdhalilishaji kwa jinsi tu ulivyo yani umeshindwa kumuita Dada wa kazi hadi umuite beki tatu? Mnatusumbuaga sana nyie mlokuja mjini na fuso za pamba asuhi nyie .Yani mkishapata pesa tu mnajidai kusahau na ngebe lukuki.
 
nimekupenda bure dada yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…