kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 454
mmshakuwa mwili 1.
Mimi USHAURI WANGU NAUTOA FRM EXPERIANCE!!!!!! My Broo nae kabla ya kuoa alikua SWEETIE wa mademu kibao, na hata kuchangia harusi walichanga kinomaaa! Sasa baada ya kuoa si ndio IKAWA KASHESHE!!! Bi dada kila simu ikiita ANAVIMBA KAMA KOBRAAAA! Tukamshauri awe Dk 3 Mbele!!!! Sasa wale SWEETIE umewaambia unaoa nao hawana tabu na mtu, na wamekuchangia, huwezi KUKATA MAWASILIANO GHAFLA!!! Na wengine ni wateja wazuri coz anafanya BUSINESS TOKA CHINA!!!! SULUHISHO TULILOFIKIA NI KUWA NA SIMU MBILI, TENA KAMUONESHA MKEWE, MOJA YA BUSINESS, INALALA KWENYE GARI, NYINGINE YA PERSONAL NDO ANAINGIA NAYO MATRIMONIAL ROOM! LOLEST! Tena Bi Dada alipigwa biti kuwa ASIIZOEE ZOEE ILE SIMU YA BUSINESS KABISA, HIYO PERSONAL AKITAKA ASHINDE NAYO, AKAAMBIWA KAMA ANATAKA WALE MAWE HUMO NDANI ACHEZEE BUSINESS CONECTIONS AND NETWORKS!!! Hahahaaaaaa! Simu anaitaka kuikagua, Kula mawe haweziii, ALISONYAJE KIMYA KIMYA!!! Sasa na wewe UMEWEKEE MKEO MIPAKA!!!! LOL! (Mimi sikuombi kukagua, NAKULIA TIMING TU! IKIINGIA KWENYE 18 ZANGU, NAMBA TATA ZOTE NAZIKOPI, WALA SIKUULIZI, NAZITAFUTIA LINE YA MAGUMASHI!!! UTAISOMA KIMYA! KIMYA! KILA NAYEMSHUKU ATALIJUA JIJI KUWASILIANA NA WEWE! LOLEST!!!)
Inawezekana comment yako ni nzuri sana, ila una mwandiko mbaya sana, sisomagi miye miandiko mibovu kama hii.
Unapokuwa JF moja ya faida unazozipata ni kujifunza namna ya kuandika kwa kutenganisha paragraph. chukua hii, utaki unaacha.
Mimi USHAURI WANGU NAUTOA FRM EXPERIANCE!!!!!! My Broo nae kabla ya kuoa alikua SWEETIE wa mademu kibao, na hata kuchangia harusi walichanga kinomaaa! Sasa baada ya kuoa si ndio IKAWA KASHESHE!!! Bi dada kila simu ikiita ANAVIMBA KAMA KOBRAAAA! Tukamshauri awe Dk 3 Mbele!!!! Sasa wale SWEETIE umewaambia unaoa nao hawana tabu na mtu, na wamekuchangia, huwezi KUKATA MAWASILIANO GHAFLA!!! Na wengine ni wateja wazuri coz anafanya BUSINESS TOKA CHINA!!!! SULUHISHO TULILOFIKIA NI KUWA NA SIMU MBILI, TENA KAMUONESHA MKEWE, MOJA YA BUSINESS, INALALA KWENYE GARI, NYINGINE YA PERSONAL NDO ANAINGIA NAYO MATRIMONIAL ROOM! LOLEST! Tena Bi Dada alipigwa biti kuwa ASIIZOEE ZOEE ILE SIMU YA BUSINESS KABISA, HIYO PERSONAL AKITAKA ASHINDE NAYO, AKAAMBIWA KAMA ANATAKA WALE MAWE HUMO NDANI ACHEZEE BUSINESS CONECTIONS AND NETWORKS!!! Hahahaaaaaa! Simu anaitaka kuikagua, Kula mawe haweziii, ALISONYAJE KIMYA KIMYA!!! Sasa na wewe UMEWEKEE MKEO MIPAKA!!!! LOL! (Mimi sikuombi kukagua, NAKULIA TIMING TU! IKIINGIA KWENYE 18 ZANGU, NAMBA TATA ZOTE NAZIKOPI, WALA SIKUULIZI, NAZITAFUTIA LINE YA MAGUMASHI!!! UTAISOMA KIMYA! KIMYA! KILA NAYEMSHUKU ATALIJUA JIJI KUWASILIANA NA WEWE! LOLEST!!!)
Unajua nini mkuu hapa huyu mwanamke ameshakucheat tayari.....sasa anacho hisi moyoni ni kwamba tabia alizoziona kwa mwanaume waliokula naye utamu anaanza kuhisi na wewe oviazi utakuwa hivyo so anajaribu kukuchunga huku akijipigia picha ya jaaa ake mpya kua inawezekena wote mpo hivyo....ni saikolojia tu lakini inavyonituma japo kwa umakini sana unaweza kuona ukweli ndani yake
Hali zenu wana JF, imenibidi nitumie jukwaa hili ili kuweza kupata ushauri wa busara na hekima. Mimi nimekua na mahusiano na msichana mmoja hivi kwa takribani miaka 6 hivi na hatimaye mwanzoni mwa mwaka tukakubaliana kuingia ktk ndoa. Kimsingi tumeishi vizuri sana kipindi chote cha uchumba wetu potelea mbali matatizo madogo madogo ambayo ni ya kawaida ktk mapenzi, lakini kilichonifanya kuanzisha huu uzi ni kwamba toka nianze kukaa nae mwezi wa 7 amekua na tabia ya kunichagulia marafiki wa kuwasiliana nao kwny simu kitendo ambacho kinanikera sana na tabia hii hakua nayo mwanzo, sms ikiingia anataka awe wa kwanza kusoma hata simu yng ikiita anataka aone nani anapiga na jana nilipigiwa simu na rafiki tu wa kike na yeye alikua nje akifua nguo baada ya kusikia nikiongea kwny simu alikuja dirishani ili kusikiliza mazungumzo yetu na kiukweli yalikua ni mazungumzo ya kawaida ya kutakiana hali cha ajabu yeye akakasirika na kudai kwanini nawasiliana na wasichana nikamwelesha lakini bado, na ikaingia sms ya gd9t tu ya hy hy msichana basi ndo ikawa tabu akaninunia mpaka mda huu hatujaongea nae hata chakula nimekula hotelini. Sijawahi kumcheat hy mwanamke lkn kwake naonekana namcheat daily, nimeongea nae kuhusu hili suala hadi nimechoka. Naomba mnishauri nifanye nini maana nimeishavunja urafiki na watu wengi na nimebadili laini hadi watu wananishangaa lakini kwake hy haitoshi. Nampenda sana lakini huu mwenendo wake umenichosha.
mi naona hapa tunachemka wengi haswa hao manaosema eti ukioa uache kuwa rafiki na upande wengine, inategemea ni urafiki gani, so ina maana kuwasiliana na mwanamke mwingine ni mapenzi tu? Tuache ushamaba, maisha ni mafupi sana kuanza kupeana eti mipaka ya mawasiliano, yees kwa mipaka ya kimapenzi sawa lakini si mawasiliano normal, km ni kuoa au kuolewa ni kifungo>? Ss**nz kabisa and to hell with ndoa. Wanawake mumezidi kuwa na wivu wa kis**shwain kabisa. Mi nadhani wanaume tunakuwaga na heshma sana ktk ndoa ila pale mkeo anapoanza kuleta fyoko kukushuku ndo nawewe unafanya kweli (wapo wachache wanaonzaga sikatai). Ila wanawake mumezidiii, sasa km nafanya kwa siri na sikuonyeshi shida ni nini? Cmoon kuweni sensible maisha ya kufurahia haya!! Samahani kwa nliemkwaza
kaka hilo ni kosa kubwa sana. Mimi nimejifunza siwezi kuwa na msichana mwingize ama kuzoeana na demu mwingine zaidi ya msichana wangu tu. thats all. So nakushauri uachane kabisa na wasichana wengine ukiwazoea ama wanakupigia ama nini utaipoteza ndoa. Hapo mke wako hana kosa na yupo so right wewe omba msamaha na focus kwa mke wako tu .