Mke wangu kanibadilikia baada ya ndoa.

Mke wangu kanibadilikia baada ya ndoa.

Acha kuzoeana na wasichana wengine, hata kama mlikua na mazoea before ndoa sasa hivi tengeneza mipaka ya maana.Mfano mzuri ni mimi mwenyewe,nilivooa kuna wasichana tumesoma nao na bahati mbaya mimi tokea naanza shule nimesoma shule za mchanganyiko yaani co-education na pia wengine tunafanya nao kazi. Lakini baada ya kumweka mama watoto ndani simu zisizo za lazima nilishaambia sitaki unless ni mchana au ni wakati ambao najua kuwa mke wangu yupo mbali na mimi.

Nafanya hivo sio kusema kuwa namcheat mke wangu, la hasha nafanya hivo kwa kuwa sitaki mke wangu awe na chembe ya doubt na mimi.Pia kuna wasichana wengine ni marafiki zangu na wamenisaidia to the certain point to reach here am kwa hiyo si mbaya kuwatambulisha kwa mke wako na once unapopokea simu ya hao wasichana mke wako anakuwa huru kidogo lakini sio njia ya kila muda kuwasiliana na hao wasichana na pia wasiwe wengi kama uyoga maybe wawili watatu bt wasizidi.Ni mbaya sana mke wako kuanza kukuhisi kuwa unamcheat please just be open with her na kama unaona hapendi hayo mawasiliano just cut it off completely maana bwana mama watoto ni mama watoto tu

nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja.ila wanaume wengi wanapuuza hivi vitu.
 
mmeongea na kumaiza, then anatuma sms ya lala salama ya nini??????

unamshangaa nini mkeo, ndio maana anakufatilia kuna kitu unafanya na hujijui kuwa kinaaribu ndoa yako.

unataka sema hivyo ndivyo unafanya na wanawake wote unaowasiliana nao? eti mkeo ndo ana shida, wewe ndio una shida unaongea nini na huyo binti wa nje kwanini haumjumuishi mkeo au kusema amsalimie mkeo wajuane kama ni rafiki wa kawaida basi mkeo nae atakuwa rafiki za hao wa kawaida.

Unaonekana hujsema yote na wewe kuendelea kuachia wanawake wakupigie simu bila kumuhusisha mkeo ni mbaya, ndoa inaingia doa atapata mtu nje wakuongea nao pia kama wewe unavyofanya then ndo utajua uchungu anaosikia.

wanawake hao I guess ni singles lazima nao wanataka kuingia kwako, ukibisha wajaribu utashangaa wakikuvulia nguo za ndani.

Pia tabia ya kuongea na girls inawafanya wamzarau mkeo, kama unabisha wakutanishe na mkeo uone madharau watakayoonyesha kwa kiaina.

Kwa mie bora unge cheat ukiwa haujaoa, kwa sasa naona kama unaeekea huko. au unasemaje?
 
kaka hilo ni kosa kubwa sana. Mimi nimejifunza siwezi kuwa na msichana mwingize ama kuzoeana na demu mwingine zaidi ya msichana wangu tu. thats all. So nakushauri uachane kabisa na wasichana wengine ukiwazoea ama wanakupigia ama nini utaipoteza ndoa. Hapo mke wako hana kosa na yupo so right wewe omba msamaha na focus kwa mke wako tu .

mkuu umeongea vizuri sana, iweje mtu umeoa halafu bado unatumiwa msg za g9t na wanawake wengine?

Ushaoa tulia na wako mkuu,
hao wengine wanakutaka nini?
Mkeo yupo sahihi kabisa.
Anakupenda na anakuepushia balaa la hivyo vibinti vinavyo kuzoea, iweje binti anaejiheshimu amtumie mume wa mtu msg za g9t?

Omba msamaha utulizane na wako.
 
Inawezekana comment yako ni nzuri sana, ila una mwandiko mbaya sana, sisomagi miye miandiko mibovu kama hii.

Unapokuwa JF moja ya faida unazozipata ni kujifunza namna ya kuandika kwa kutenganisha paragraph. chukua hii, utaki unaacha.

hiyo ni style yake na tunaipenda ajabu!kwanza umetokea wapi ww! lara 1 potezea mdogo wangu!kila mtu na style yake ya kuandika !hii hii ndo yenyewe na inakutambulisha poa ile mbaya kama ya mimi na mwalimu mwenzangu gfsonwin huwa hatuanzi na herufi kubwa lakini tunasongesha jukwaa ile balaa!
 
Last edited by a moderator:
Mimi USHAURI WANGU NAUTOA FRM EXPERIANCE!!!!!! My Broo nae kabla ya kuoa alikua SWEETIE wa mademu kibao, na hata kuchangia harusi walichanga kinomaaa! Sasa baada ya kuoa si ndio IKAWA KASHESHE!!! Bi dada kila simu ikiita ANAVIMBA KAMA KOBRAAAA! Tukamshauri awe Dk 3 Mbele!!!! Sasa wale SWEETIE umewaambia unaoa nao hawana tabu na mtu, na wamekuchangia, huwezi KUKATA MAWASILIANO GHAFLA!!! Na wengine ni wateja wazuri coz anafanya BUSINESS TOKA CHINA!!!! SULUHISHO TULILOFIKIA NI KUWA NA SIMU MBILI, TENA KAMUONESHA MKEWE, MOJA YA BUSINESS, INALALA KWENYE GARI, NYINGINE YA PERSONAL NDO ANAINGIA NAYO MATRIMONIAL ROOM! LOLEST! Tena Bi Dada alipigwa biti kuwa ASIIZOEE ZOEE ILE SIMU YA BUSINESS KABISA, HIYO PERSONAL AKITAKA ASHINDE NAYO, AKAAMBIWA KAMA ANATAKA WALE MAWE HUMO NDANI ACHEZEE BUSINESS CONECTIONS AND NETWORKS!!! Hahahaaaaaa! Simu anaitaka kuikagua, Kula mawe haweziii, ALISONYAJE KIMYA KIMYA!!! Sasa na wewe UMEWEKEE MKEO MIPAKA!!!! LOL! (Mimi sikuombi kukagua, NAKULIA TIMING TU! IKIINGIA KWENYE 18 ZANGU, NAMBA TATA ZOTE NAZIKOPI, WALA SIKUULIZI, NAZITAFUTIA LINE YA MAGUMASHI!!! UTAISOMA KIMYA! KIMYA! KILA NAYEMSHUKU ATALIJUA JIJI KUWASILIANA NA WEWE! LOLEST!!!)

furahia wifio kupata hayo na kushauri kaka aendelee na mawasiliano kwa sababu ya mchango, wengine lazima ameala nao au analala nao. na wewe unafurahia hivi mmhh. mie huwa sifurahii matatizo ya mwanamke mwenzangu ikija kwa wanaume.

ushauri wenu kwa kaka yenu sio mzuri na ujanja mnaompa subirini siku muombe asiende 2 kilos. maana kama ni business sioni kwa nini mke wake asiweze pokea hizo simu na simu kuwa free. siku akifunguka macho na yeye kuwa na simu ya business mfunge midomo yenu.

nasema tena mmeshauri jambo baya kuwaweka kando kando badaa ya kuwaunganisha na kusuruhisha tatizo. sasa kweli na hii michango ya harusi inasikitisha, kuomba msaada ndio ndoa mke anateseka duh. michango hiyo inamaanisha haikuwa na faida, harusi ndogo ya wachache ingeeta furaha kuliko kukubali pesa za ma hawala.
 
Ndugu naelewa una machungu, ila wifi yangu mie humjui hataaa! Kwanza shule ndogo, pili sio reasonable, tatu hawezi kutenganisha mambo binafsi na biashara. Ingekuwa anajielewa broo angemshirikisha hata hizo biashara! Ilikuwa akipiga simu mwanamke akipokea ANAJIBU MZIGO HAMNA/UMEISHA sasa ndo mambo gani hayo!!! Tuyaache tu kwani NDOA IKO PENDING. Ni ukweli kuwa BUSINESS IS BUSINESS NA RELATION NI RELATION. Hata mimi business zangu simruhusu BF kuingilia wala kufanya VETO ya decision. Wafanyabiashara mtanielewa!
 
kaka hilo ni kosa kubwa sana. Mimi nimejifunza siwezi kuwa na msichana mwingize ama kuzoeana na demu mwingine zaidi ya msichana wangu tu. thats all. So nakushauri uachane kabisa na wasichana wengine ukiwazoea ama wanakupigia ama nini utaipoteza ndoa. Hapo mke wako hana kosa na yupo so right wewe omba msamaha na focus kwa mke wako tu .

acha kumlisha sumu mwenziyo, networking ni muhimu sana katika maisha, na ukiona maishani una marafiki wa jinsia moja tu au rika moja tu, au life style moja tu, nk ujue kuna kitu hakiko sawa.
Mwanamke wake anatakiwa awe muelewa tu, na cha msingi ni uaminifu kwa maana ya kuaminiana, na kama kweli ana wivu kwanini hakuuonesha tangu mwanzo?
mi nakushauri kaa naye ongea naye tena kwa mara nyingine, akishindwa kuelewa baaaaaaaaaaaas fanya maamuzi kwa kutumia kichwa cha juu na si kichwa cha chini, maana kisicho na akili hapo kinaonekana kuongoza chenye akili
 
Dedication,
kigeugeu by Jaguar
serious
 
hiyo ni style yake na tunaipenda ajabu!kwanza umetokea wapi ww! lara 1 potezea mdogo wangu!kila mtu na style yake ya kuandika !hii hii ndo yenyewe na inakutambulisha poa ile mbaya kama ya mimi na mwalimu mwenzangu gfsonwin huwa hatuanzi na herufi kubwa lakini tunasongesha jukwaa ile balaa!
Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa, acha kuvamia watu am always here.

user-online.png
snowhite

Today 20:12

#25

JF Senior Expert Member Array

Join Date : 2nd August 2012

Posts : 1,967

Rep Power : 865

Likes Received
1557

Likes Given
1268

[h=2][/h]
 
Ndugu yangu MIE FUNGU LA KUKOSA HUMU JF!!! Nashukuru UMENITETEA, ila naona jamaa NAKUTAFUTIA BAN!!! Poleee! Mi nimenyamaza to sababu HE IS NOT EVEN WORHT MY COMMENT!!!!
 
af jitazame na wewe best!akili kubwa ni pamoja na kukubali upekee wa kila mtu!lolest!
 
Ndugu yangu MIE FUNGU LA KUKOSA HUMU JF!!! Nashukuru UMENITETEA, ila naona jamaa NAKUTAFUTIA BAN!!! Poleee! Mi nimenyamaza to sababu HE IS NOT EVEN WORHT MY COMMENT!!!!

wala huna sababu ya kujisia vibaya!hakuna mtu anaweza kukuamlia ufikiri nini!ndo mana kila mtu anamiliki kichwa chake!uwe na amani wala we sio fungu la kukosa wanakukubali sana japoa kimya kimya!wengine wanatamano kuwa kama wewe,sio wote wana nguvu ya kujikubali kiasi hicho na kuwa wazi as u are!tupe raha mamii!huyu hawezi kunitafutia ban huyu!nafkiri unaujua mtiti wangu mamii!nikiwa na kampuni yangu chini ya uongozi wa boss wetu Madame B,wala sina haja ya kujibishana nae!he really dasnt worth it!
 
Last edited by a moderator:
af jitazame na wewe best!akili kubwa ni pamoja na kukubali upekee wa kila mtu!lolest!
Huu ndio upekee au ujinga? umesoma shule gani wewe? Mwalimu wako hana la kujivunia kwako. Hivi unafahamu maana ya Unique?
 
mamii!huyu hawezi kunitafutia ban huyu!nafkiri unaujua mtiti wangu mamii!nikiwa na kampuni yangu chini ya uongozi wa boss wetu Madame B,wala sina haja ya kujibishana nae!he really dasnt worth it!
Huu ndio zaidi ya ujinga, Can't you stand with you're own foot?
 
kaka hilo ni kosa kubwa sana. Mimi nimejifunza siwezi kuwa na msichana mwingize ama kuzoeana na demu mwingine zaidi ya msichana wangu tu. thats all. So nakushauri uachane kabisa na wasichana wengine ukiwazoea ama wanakupigia ama nini utaipoteza ndoa. Hapo mke wako hana kosa na yupo so right wewe omba msamaha na focus kwa mke wako tu .

Duh.....! kaka are you serious......
 
539490_3159914855545_614128057_n.jpg

Tayari binti kampata amfurahishaye, jifunze mbinu mpya, acha kuishi kwa mazoea.

Acha kuongea mambo yasiyo ya msingi,aliyepost hapo ni mwanandoa,kuandika vitu vya namna hiyo unamjengea mtu mawazo yasiyo ya msingi. Angekua na mtu wala asinge bother kumfuatilia kihivo na kuona wivu wa namna hiyo. Am pretty sure ni mob psychology na si usemavyo Bujibuji
 
Back
Top Bottom