Mke wangu kaniambia wenye pesa ndio waliomchelewesha kurudi usiku

Naitwa John niko kwenye ndoa mwaka wa 9 na tumejaaliwa na mke wangu watoto wawili. Nilikuwa muajiriwa lakini niliacha kazi na kuanza biashara zangu binafsi miaka miwili iliyopita. Kiukweli mke wangu ni muajiriwa wa Serikali na kipato chake ni kikubwa kuliko mimi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu tangu nilivyoacha kazi mke wangu kwa asilimia kubwa ndiye amekuwa akiibeba familia kwa mambo mengi yanayohusu pesa kuanzia nyumbani mpaka kwenye ada za watoto shule.

Nilichogundua kwa miaka hiyo miwili amekuwa haniheshimu hata kidogo yaani amekuwa akionesha dharau kubwa saa nyingine mpaka mbele za watoto wangu lakini nimekuwa nikimvumilia.

Kilichoniudhi kuliko vyote ni Jumamosi hii alirudi nyumbani usiku akiwa amelewa na nilipomuhoji akaniambia nikae kimya kwani wanaume wenzangu wenye hela zao ndio waliomnunulia pombe na ndio wanaompa hela za kutunza familia nikiwemo mimi.

Jambo hilo liliniuma sana na naomba nikiri kusema nililia kwa masaa mawili peke yangu. Cha ajabu asubuhi nilipomkumbusha akaniambia nimsamehe kwani zilikuwa pombe tu na hatarudia tena.

Naomba ushauri nifanyeje? Natamani kuondoka nikapange nyumba nyingine lakini watoto wangu sijui watanichukuliaje.
Blaza,unatia huruma at the same time unatia hasira....ngoja niisbie hapo nisije tukana bure
 
Hivi watu huwa mko serious kabisa kwamba una-expose matatizo yako kama hivi unategemea kupata msaada au inakuwa changamsha genge tu

We mwenyewe tatizo umeshaona ni kibunda kupungua then unaomba ushauriwe nini man,tafuta kibunda taratibu kama alipangwa kuwa na wewe milele atabaki tu kama haikupangwa piga goti shukuru Mungu endelea na safari
Hawa ni wakina Mussa banzi film
 
Naitwa John niko kwenye ndoa mwaka wa 9 na tumejaaliwa na mke wangu watoto wawili. Nilikuwa muajiriwa lakini niliacha kazi na kuanza biashara zangu binafsi miaka miwili iliyopita. Kiukweli mke wangu ni muajiriwa wa Serikali na kipato chake ni kikubwa kuliko mimi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu tangu nilivyoacha kazi mke wangu kwa asilimia kubwa ndiye amekuwa akiibeba familia kwa mambo mengi yanayohusu pesa kuanzia nyumbani mpaka kwenye ada za watoto shule.

Nilichogundua kwa miaka hiyo miwili amekuwa haniheshimu hata kidogo yaani amekuwa akionesha dharau kubwa saa nyingine mpaka mbele za watoto wangu lakini nimekuwa nikimvumilia.

Kilichoniudhi kuliko vyote ni Jumamosi hii alirudi nyumbani usiku akiwa amelewa na nilipomuhoji akaniambia nikae kimya kwani wanaume wenzangu wenye hela zao ndio waliomnunulia pombe na ndio wanaompa hela za kutunza familia nikiwemo mimi.

Jambo hilo liliniuma sana na naomba nikiri kusema nililia kwa masaa mawili peke yangu. Cha ajabu asubuhi nilipomkumbusha akaniambia nimsamehe kwani zilikuwa pombe tu na hatarudia tena.

Naomba ushauri nifanyeje? Natamani kuondoka nikapange nyumba nyingine lakini watoto wangu sijui watanichukuliaje.
Wewe lofa! Mwanamme ukipoteza nafasi yako kama mme unakuwa lofa na bwege! Kilichobaki ni kupigwa makofi na huyo mwanamke! Mke akiwa na kipato ni fursa ya kuchukua kipato chake kuwa mtaji wa kujitengenezea biashara kurudisha heshima! Umeshindwa hilo unakuja hapa kulialia! Mxiuuuuh
 
Naitwa John niko kwenye ndoa mwaka wa 9 na tumejaaliwa na mke wangu watoto wawili. Nilikuwa muajiriwa lakini niliacha kazi na kuanza biashara zangu binafsi miaka miwili iliyopita. Kiukweli mke wangu ni muajiriwa wa Serikali na kipato chake ni kikubwa kuliko mimi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu tangu nilivyoacha kazi mke wangu kwa asilimia kubwa ndiye amekuwa akiibeba familia kwa mambo mengi yanayohusu pesa kuanzia nyumbani mpaka kwenye ada za watoto shule.

Nilichogundua kwa miaka hiyo miwili amekuwa haniheshimu hata kidogo yaani amekuwa akionesha dharau kubwa saa nyingine mpaka mbele za watoto wangu lakini nimekuwa nikimvumilia.

Kilichoniudhi kuliko vyote ni Jumamosi hii alirudi nyumbani usiku akiwa amelewa na nilipomuhoji akaniambia nikae kimya kwani wanaume wenzangu wenye hela zao ndio waliomnunulia pombe na ndio wanaompa hela za kutunza familia nikiwemo mimi.

Jambo hilo liliniuma sana na naomba nikiri kusema nililia kwa masaa mawili peke yangu. Cha ajabu asubuhi nilipomkumbusha akaniambia nimsamehe kwani zilikuwa pombe tu na hatarudia tena.

Naomba ushauri nifanyeje? Natamani kuondoka nikapange nyumba nyingine lakini watoto wangu sijui watanichukuliaje.
Kuwa na self respect ndugu, funga virago ukaanze maisha yako upya. Mungu si Athumani!
 
Mtu akiwa na furaha sanaaa ,au hasira sanaaa au akiwa amelewa ndo huwa anasema ukweli toka moyoni. Ila akiwa serious in normal condition inakua rahis kupretend. Hayo uloambiwa akiwa amelewa ndo yenyewe chagua kuvumilia uku ukijitafuta zaidi au kumove on kama huwez ishi na mtu asiekuheshim unapofall kiuchumi.
 
Check na DNA Pia unaweza kuta watoto sio wako.....check serious nina ushahidi wanawake wengi design hiyo watoto sio wa waume zao wa ndoa
 
Bumbav unatuletea story za Facebook za mwaka 47
Screenshot_20240111-224510_Lite.jpg
 
Naitwa John niko kwenye ndoa mwaka wa 9 na tumejaaliwa na mke wangu watoto wawili. Nilikuwa muajiriwa lakini niliacha kazi na kuanza biashara zangu binafsi miaka miwili iliyopita. Kiukweli mke wangu ni muajiriwa wa Serikali na kipato chake ni kikubwa kuliko mimi.

Msema kweli mpenzi wa Mungu tangu nilivyoacha kazi mke wangu kwa asilimia kubwa ndiye amekuwa akiibeba familia kwa mambo mengi yanayohusu pesa kuanzia nyumbani mpaka kwenye ada za watoto shule.

Nilichogundua kwa miaka hiyo miwili amekuwa haniheshimu hata kidogo yaani amekuwa akionesha dharau kubwa saa nyingine mpaka mbele za watoto wangu lakini nimekuwa nikimvumilia.

Kilichoniudhi kuliko vyote ni Jumamosi hii alirudi nyumbani usiku akiwa amelewa na nilipomuhoji akaniambia nikae kimya kwani wanaume wenzangu wenye hela zao ndio waliomnunulia pombe na ndio wanaompa hela za kutunza familia nikiwemo mimi.

Jambo hilo liliniuma sana na naomba nikiri kusema nililia kwa masaa mawili peke yangu. Cha ajabu asubuhi nilipomkumbusha akaniambia nimsamehe kwani zilikuwa pombe tu na hatarudia tena.

Naomba ushauri nifanyeje? Natamani kuondoka nikapange nyumba nyingine lakini watoto wangu sijui watanichukuliaje.
Kuwa Muislam utajuwa cha kufanya.
 
Back
Top Bottom