Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
- Thread starter
- #41
Loh!! wew kweli balaa unajua hadi miguno ya mijimama, aisee ndio mimi tunaishi mtaa mmoja nakuonaga unavyohangaika na mahouse girl wetu hapa mtaani.
Ha ha aha ha ha ha ha!!!!!
Si ndio huwaga unahangaika kutafuta namba zangu kwa yule dada wa saloon pale kwny kona