Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Imenishangaza sana maana hiyo ni ucku wa kuamkia leo, Picha liko hivi:-
Tangu zamani sana hata kabla cjawa na huyu wife wangu huu mchepuko nilikuwaga nao, ni mzuri kiasi chake ana kaumbo ka umodo flani hivi...... Kusema ule ukweli hata yeye nilimwambia wazi kuwa tugegedane tu lakini hakuna kuoana wala kupeana mimba, nae akaridhia hilo (yani tulikuwa tunachezeana).......mambo yameendelea ivo hadi nikaja kupata mke na nikamwambia, yeye akasema haina tatizo yuko tayari tuendelee hivyohivyo tu, isipokuwa aliniomba nimuoneshe huyo mtarajiwa wangu ili awe na tahadhari nae, ckusita nilimuonesha
Kama miezi mi3 iliyopita wife aliniaga kuwa anaenda kwny kitchen party, na ule mchepuko nao ukasema utakuwa kwny sherehe hiyo hiyo, ckuwa na wasiwasi kwa hilo maana nilijua wife hamfahamu mchepuko na mchepuko uliahidi kuwa na heshima kwa wife....
Wanafiki hawakosekanagi kila mahali, kuna limama hilo hata cjui lilijuaje hilo li mama.....c likamuonesha wife kuwa 'mke mwenzio huyo' na jina likamtajia!!
Wanawake ni wanawake tu kwa kweli, kwa mujibu wa shuhuda wangu eti mchepuko akawa anaomba nyimbo za mafumbo ya wazi wazi kabisa, halafu na yule Dj alivyo zoba akawa anazipiga bila kujua kuwa anaweza kusababisha matatizo.....kwa asili my wife ni mkimya, lakini alipoona vijembe vinakuwa vingi uvumilivu wake ukafika ukomo akamvaa na kumkunjua makofi mazuri tu bila hata kujitetea mchepuko wangu (maana ubavu huo hana wife ni mbavu nene japo sio wa kuchukiza)
Shuhuda wangu akanitumia full ripoti, nikasubiri sasa leo huyu msukuma wangu akija cjui nitamjibu vp.....kumbe hapo nilikuwa najiuliza maana nilikuja kushangaa ya firauni, baada ya cku zote hizo kunyamaza kimya bila ya kunielezea kilichotokea!!
Mchepuko haukuwa na simile yani kesho yake tu ukanimwagia picha yote ilivyokuwa, na ili kumpoza machungu ya kipigo hiyo kesi tukaimalizia kitandani.....
Leo sasa c ndio nikaota kuwa wife ameupiga tena mchepuko wangu....!! Halafu nimekuja kuamka nilipoondoka nyumbani eti mchepuko kanipigia simu na kudai kuwa kanimisi sana, nimerudi home wife ananiuliza hivi unamjua dada mmoja anaitwa......(jina la mchepuko), moyo ukapiga samasoti halafu nikajikaza nikasema cmfahamu kwani ni nani akasema aah basi sasa.....!!
Bado najiuliza uhusiano uliopo hapo!!