Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
mie kurithiwa aisee ni ngumu hata kama sijui kama wanafanya hivi ila nazijua haki zangu kama mtoto wa kike hakitaaribika kitu.raha zaidi siko tayari kuuuza utu wangu kwa kitu chochote nauthamini sana ubongo wangu hautaniangushasubiri na wewe hapo utakaporithiwa
si mnakimbilia kuolewa huku mijini bila kuchunguza kwamba unaolewa na kabila gani, ukoo gani!
Ndio maana wengine humu hujikuta wameolewa na walozi
Acha kuongea maneno mbovu mbovu, ninyi ndio mnajifanya humu mjini mmestaarabika wakati mkienda huko makwenu mnatambikiwa.Jiongeze kidogo na wewe! Hata kama kafa kwa ajali unajuaje kama hakuwa anaishi kwa matumaini? Mtu anaweza kuishi 15yrs na virusi vya ukimwi lakini akafa kwa ajali.
All in all outcome za kikao ni za kijinga kabisa especially kwa dunia ya sasa. Kwenye familia za kisasa licha ya mwanamke hata mali zake haziwahusu.
Hivi wasamabaa ndo bado wana akili hizi? Au unawasingizia tuu?
Alikuwa anajua sana maana hata kwetu shangazi na baadhi ya dada zangu waliofiwa na waume zao wamerithiwa.
Anajua kila kitu bali anajitia hamnazo
Sasa ndio ushauri gani huu!mpe talaka mkeo..aende zake kwa amani..ila bado siamini..ivi aya mambo yapo bado eti ee?..kua kikao kimeamua ivo na ww umelipokea kwa mikono miwili kabisa eti?..
ukewenza mzigo bana..mwache mwenzio awe na amani.
mke mwenzangu mambo najitambulisha mimi ni mke wa pili kutoka mwisho wa kuachika na KakaKiiza hivi wewe ni mke wa ngapi vilempe talaka mkeo..aende zake kwa amani..ila bado siamini..ivi aya mambo yapo bado eti ee?..kua kikao kimeamua ivo na ww umelipokea kwa mikono miwili kabisa eti?..
Ukewenza mzigo bana..mwache mwenzio awe na amani.
Pokea ushauri wewe.acha ubishi.Katika mila zote unazozijua, hii ndiyo umeona inafaa kutekeleza? Ushauri mzuri ni kumuacha mkeo, aende kwa amani.hapo sio mahabusu mpaka uendelee kumkatalia.Yaani mpaka umsugue ndiyo aanze kupokea msaada.I wish siku moja huyo kaka yako akutokee, akute uko juu ya mkewe, ndiyo ujue na huduma ya 0713 utaitoaje siku hiyo.Wewe acha kashfa nakuomba tafadhali
Wanwake wakusugua wapo tele mjini, kwa nini nimkimbilie mjane!
Ninatakiwa na ukoo nilee na kuitunza familia ya marehemu kaka yangu na si vinginevyo
Yaani kwa hilo, acha achachamae tu... Mbona huVai magome ya miti hadi leo, kama kweli unafuata mila na desturi? Mbona huvai yale majani/madude ya kuficha hapo mbeleni tu kama kweli unafuata mila na desturi?.. Mambo mengine ni ujinga kuyafuata... YAANI UMWAMBIE KABISA HUYO MKEO ASIACHE KUCHACHAMAA MAANA MAZINGIRA TULIYO NAYO SASA HAYARUHUSU MAMBO HAYO.... NA UMWAMBIE KAMA WEWE UNALING'ANG'ANIA HILO basi mimi nimesema akadai talaka mahakamani.... na ukikata rufaa utashindwa kama walivyoshindwa wale wa LemaEti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
huyo kaka yangu hakuwa na mali wala nini, mimi ndio naonekana kwetu kuwa nina nafuu hivyo nimetakiwa kumrithi mke wa kaka yangu ili nimsaidie kulea watoto na kumtunza huyo mjane
Acha jazba, mke wangu hakuhusu kabisaYaani kwa hilo, acha achachamae tu... Mbona huVai magome ya miti hadi leo, kama kweli unafuata mila na desturi? Mbona huvai yale majani/madude ya kuficha hapo mbeleni tu kama kweli unafuata mila na desturi?.. Mambo mengine ni ujinga kuyafuata... YAANI UMWAMBIE KABISA HUYO MKEO ASIACHE KUCHACHAMAA MAANA MAZINGIRA TULIYO NAYO SASA HAYARUHUSU MAMBO HAYO.... NA UMWAMBIE KAMA WEWE UNALING'ANG'ANIA HILO basi mimi nimesema akadai talaka mahakamani.... na ukikata rufaa utashindwa kama walivyoshindwa wale wa Lema
Kwa mila zetu inatakiwa awe mkeo kabisa na watoto mzae ili kuendeleza ukoonadhani unaweza kumlea na watoto bila kumfanya mkeo,huo ndo ustaarabu.kinyume na hapo ni tamaa zako 2
Sasa ndio ushauri gani huu!
Sasa humu ulimletea nani anayemuhusu..??? Naipenda sana JF, yaani ukichemka watu wanakutokosa kabisa....Acha jazba, mke wangu hakuhusu kabisa
Mila zetu mke si ruhusu kumuacha mume, ila wanaweza kutengana tu
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka mtu kumrithi mke wa ndugu yake pale anapofariki. Sasa namshangaa mke wangu kanuna wiki sasa anataka talaka yake aondoke.
Hivi hapa nimechanganyikiwa sijui nifanye nini maana mke wangu nampenda lakini pia nisingependa damu ya kaka yangu ipotee. Lazima mila iheshimiwe...
eti umekuja kuomba ushauri.hebu nihamie kwingine.Acha jazba, mke wangu hakuhusu kabisa