kitambiflat
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 163
- 228
Kuzaa siyo hoja,usipotoshe umma please!!.......Mbona wanawake kibao kama vile akina Zamaradi,Zarie,Angelina jolie na wengine wamezaa watoto wengi tu ila wana shape kali???........Hoja hapa ni kula ovyo,uvivu wa kufanya mazoezi na kutokujipenda!Si umemzalisha ulitegemea abaki vile vile apo utataka ushauri uambiwe mwache, uyo ni mkeo uliyefunga nae ndoa vumilia tu acha hzo tamaa
saws kaka nakuPMLeta namba yake PM, dawa ipo. ..
Kuzaa siyo hoja,usipotoshe umma please!!.......Mbona wanawake kibao kama vile akina Zamaradi,Zarie,Angelina jolie na wengine wamezaa watoto wengi tu ila wana shape kali???........Hoja hapa ni kula ovyo,uvivu wa kufanya mazoezi na kutokujipenda!