Kuwa makini. Siku hizi singo mazazi wengi hawasemi. Utakuja kugundua ana mtoto mwingine wa kabla yako baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa; na jamaa lililomzalisha lipo na wanawasiliana. Hapo tayari ushamzalisha watoto kadhaa. Utafanya nini? Jitahidi sana angalau ujue ABCs kuhusu past yake. Utakuja kunishukuru baadaye.