Mke wangu hebu njoo sasa

Kuwa makini. Siku hizi singo mazazi wengi hawasemi. Utakuja kugundua ana mtoto mwingine wa kabla yako baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa; na jamaa lililomzalisha lipo na wanawasiliana. Hapo tayari ushamzalisha watoto kadhaa. Utafanya nini? Jitahidi sana angalau ujue ABCs kuhusu past yake. Utakuja kunishukuru baadaye.
 
Hakika mkuu.nitajitahidi kuufanyia kazi ushauri wako.
 
Dah uamuzi mgumu......ila nakuomba sikiliza kwanza wimbo unaoitwa 'bado nipo nipo kwanza' by Mwana FA.
 
Dah uamuzi mgumu......ila nakuomba sikiliza kwanza wimbo unaoitwa 'bado nipo nipo kwanza' by Mwana FA.
Achana na hiyo nadhani hajsikiliza vyema NO LOVE...lakini dakika za mwisho mke kuwa na mume halafu mume kuwa na mke ni sheria ya MUNGU.Sidhani kama umefikiria mbali lakini big up kwa uwezo wako.
 
All the best
 
Wajua venye sina hiyana nawe kabisa lo alimradi asijifanye mjuaji tu😁😁!

All the bests and enjoy love 😘 😁😁
Wewe tayari mke mkubwa, utamkubali mke mdogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…