Mke wangu hataki nimguse.... msaada

Mke wangu hataki nimguse.... msaada

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu
 
Endelea kumbembeleza akupe japo kiduchu tu. I hope haitakuwa hivyo for the next 8 months. Hongereni kwa ujauzito.
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu

Ni kawaida ya ujauzito hususan ikiwa ndogo sana mood ya sex hupungua mda si mrefu tu atakua sawa na utapata haki yako kama kawaida kuwa mvumilivu tu ndugu yangu mnataka kukuza familia so challenges kama hizo zisikushinde
 
sasa unataka ushauri gani??
acha hizo bana ww ushakuwa baba wa familia mbona unatia mashaka sana kama suala hata hili unakuja mbio kuomba ushauri huku jf??
napata mashaka sana na uamuzi wako na usimamizi na utoaji wa msimamo wako kama baba wa familia ??
inaonekana wewe umeoa kabla ya mda wako kufika mwili ulitaka lakini akili yako badobado.
 
Mambo ya chumbani usiyalete yapa ndugu yangu!
 
mimba mwezi mmoja na wewe una hamu naye sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????

Ni muda Gani umepita mpaka uwe na hamu ya mpaka kuuliza huku jf???????????

Tunga vizuri hadithi yako basi
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu
Do you have children? if you have children/child she may be at the beginning of issues including post-natal depression. Do you normally socialise? try to bring into place about outing activities such as shopping, swimming, or casually going to visit friends in w/ends. Generally, try to discuss other things rather than sexuality. Wahi nyumbani mara ingine siyo wewe kila siku home saa sita usiku. Try also to see your psychiatrist oftenly. mie ni hayo tu kidogo niiyonayo.
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu
kama ni hamu ya sex imekosa, mlishe vyakula vinavyoamsha ashki ashki a mahaba..!!
 
hapo ndio ule usemi wetu waswahili unakua aplikabo.
" ukibeba ndoo kichwani lazima uwe na kidumu mkononi"
 
Kuna sababu zozote za kiafya au viashiria vya hatar vinavyomfanya akatae au ni yeye tu binafsi hajihisi kufanya hivyo?
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu
 
Do you have children? if you have children/child she may be at the beginning of issues including post-natal depression. Do you normally socialise? try to bring into place about outing activities such as shopping, swimming, or casually going to visit friends in w/ends. Generally, try to discuss other things rather than sexuality. Wahi nyumbani mara ingine siyo wewe kila siku home saa sita usiku. Try also to see your psychiatrist oftenly. mie ni hayo tu kidogo niiyonayo.

Wat a wise advice, umemaliza yote
 
Kwani chakula sasa hicho?...umemtandika mombimba, bado tena unataka, msubiri mpaka mtima wake ushuke kidogo, ukijari sana utamtesa....harafu acha kutafuta mauchaf ya nje huko, wanaume huwa tunaona hali hiyo tunajihalalisha kutoka nje ya ndoa..
 
mvizie akiwa usingizini unaingiza tratiiibu akishtuka anakuta ishazama .....shughuli inaendelea...!
 
Back
Top Bottom