Mke wangu hataki nimguse.... msaada

Mke wangu hataki nimguse.... msaada

Ni kawaida ya ujauzito hususan ikiwa ndogo sana mood ya sex hupungua mda si mrefu tu atakua sawa na utapata haki yako kama kawaida kuwa mvumilivu tu ndugu yangu mnataka kukuza familia so challenges kama hizo zisikushinde

Ushauri mzuri!
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu
...wewe ndo unamfahamu vizuri mkeo so majibu ya maana unayo mwenyewe...
 
Yaaan mnatutia aibu wanaume!!!!!

Huwezi kumtongoza mkeo???!!!!
Au ye ndio alikutongoza kabla ya kuoana???!!!!

Hebu jikaze mtoto wa kiume wewe umenyimwa unyumba unalalama wakija majambazi si utang'ang'ia wewe ndio mama!!!!!! Ebhooooooooo
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu

Siyo dhamira yake vumilia baada ya muda utapata haki yako na akikupa usimlalie tumbo utamuumiza.Nenda kiubavu.
 
Wanawake walio wengi kwenye first trimister hamu ya ngono hutoweka. Unachotakiwa ni kuwa na subira mwishowe hamu itamjia naye atataka sex.
Hata mke wangu nae alikuwa hivyo kwenye kipindi cha mwanzo ila mwishowe akawa anademand kila siku
 
Labda wewe umekua WASHAWASHA

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu

Vimimba vya miezi hiyo havina dili, most of the time mtu unasikia baridi, genye hamna, vichefuchefu vingi, kila harufu karaha dah! mimba sitaki kusikia. Mpe muda atarudi hali yake ya kawaida.
 
Vipi tena mkuu si ulisema wewe ni mwanamke unayeishi na virusi vya ukimwi unatafuta mume? Haya mambo ya kuchezea watu hapa jf yataisha lini? Mods alambe ban huyu amejisahau sasa nimemkamata.
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu

umegeuka jinsia tena kutoka mwanamke mwenye ukimwi watu wakatoa pole nyingi Sana.leo umekuwa mwanaume unayenyimwa unyumba na mkeo.mnajiabisha sana.
 
Wewe si kuna siku ulisema ni mwanamke mwenye ukimwi na ukawa watafuta mwenzi au?
 
Boss,hujajieleza vema.Yawezekana akawa anaumwa,hamu imepotea baada ya kudaka ujauzito,ana psychosis effection au umemtibua anakuadhibu.Kaa naye kwa upoole na jaribu kumdadisi.
Hebu jaribu kukaa na umpe maswali chokonozi yasiyo kera utaelewa linaloendelea.Hata hivyo jitahidi sana kumvumilia anaweza akawa katika kipindi nikipendacho cha kudeka mkuu.
 
kama ni hamu ya sex imekosa, mlishe vyakula vinavyoamsha ashki ashki a mahaba..!!
Hii safi, ampe hoho, ndizi, matango, karoti kwa wingi na yeye ale maboga na embe dodo sana, ataamka tu
 
Yaaan mnatutia aibu wanaume!!!!!

Huwezi kumtongoza mkeo???!!!!
Au ye ndio alikutongoza kabla ya kuoana???!!!!

Hebu jikaze mtoto wa kiume wewe umenyimwa unyumba unalalama wakija majambazi si utang'ang'ia wewe ndio mama!!!!!! Ebhooooooooo

wameoana mvulana na msichana sasa unadhani nn kitaendelea hapo.....labda msichana anadhani akifanywa atapata mimba juu ya mimba
 
Back
Top Bottom