Mke wangu hataki nimguse.... msaada

Mke wangu hataki nimguse.... msaada

Mimi alikuwa ananiambia nanuka kama harufu ya nyoka..na kunitemea mate kwa sana. Nikawa nikija Tz nafikia hotel na kwa ndugu zangu mpaka alipojifungua.Hio huwa inatokea kwa wajawazito, mpe space.
 
Kama ndiyo mimba yake ya kwanza lazima adeke sana. Vumilia atarudi kwenye hali yake.
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu

Hapo ni uombe asiendelee hivyo hata baada ya wiki nane zijazo.

Ongea nae kiupole kuna kitu utakuta hakimchefui labda ili wewe ufaidike.
 
ana ujauzito wa mwezi mmoja sasa, hataki kabisa niguse.... nina ham naye sana..... nisaidie wakuu



Vimilia kaka ni madiliko tu ujauzito subiri miez mitatu atakuwa anapenda kugegedwa mpk itakuwa keroo
 
Back
Top Bottom