Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Mwee kosa kubwa sana kudandi gari la mke.
Yaani usijaribu ata siku moja kutumia kitu cha mwanamke (kasoro papuchi yake ambayo unalipia). Kufanya hivyo ni kukaribisha matusi ya rejareja tuu.
😅😅😅😅😅😅😅😅 Kwa mwanamke mshamba ndio atamaindi kuhusu gari ila mjanja anaona sawa tu sio ishu!
 
Achana na Gari yake, ww fanya safar zako bila gari yake ila hakikisha ukirudi sifia Demu aliekupa lift kuwa ana roho ya huruma na ubinadam sana.

Wakati mwingine mwambie kuna rafiki ako wa kike atakuazima gar yake ili yeye asikose kitoka na gari yake
Heheheheh unakaribisha vita ya 3 sababu nae akisema alimpa lift baharia lazma pafuke moshi mjengoni😂😂😂
 
Ila jaman hakuna kitu kigumubkama kuwa na partner mbinafsi. Sisi wanawake sometimes chenga sana. Tafuta rafiki wa kike mwenye gari mwaya uwe unalitumia.

Halaf anakudharau. Keshakuona wewe siyo type yake tena
 
Hiyo ya kutokumpenda inawezekana kwa sababu mwanamke akitaka kuolewa wanakitu wanasema kujifunza kupenda (developing love)Sasa mapenzi ya namna hii wakati mwingine hayana uhalisia kwa iyo akishapata nguvu ndio anagundua hana mapenzi na huyo mtu
Hii ni kweli kabisa....siku hizi fake love ndo limetamalaki!

Mwanamke pata pesa tujue tabia yako
 
Fundi tafuta motor grade yako safi uwe unapiga nayo misamba...

Ina gear 8 zako safiii, we chakufanya nikutoa zile ripper na ile blade.

Achana na ushauri wangu huo juu, tuongee vitu vya maana mkuu... Mimi pia nagonga hizo harakati so uko mkoa upi ili tuweze .........
 
Hii ni kweli kabisa....siku hizi fake love ndo limetamalaki!

Mwanamke pata pesa tujue tabia yako
Lakini hili ni tatizo la jamii nzima hasa Tanzania wanawake hawana maamuzi kwenye mapenzi ndio maana hawawezi kutongoza mwanaume anayemtaka pia wanawake wanafundishwa kumpenda mtu mwenye kitu ndio maana sio ajabu kusikia mama anamkataza binti yake kuwa na mtu kwa sababu hana kitu "atakupa nini yule" kwaiyo hii madhara yake ni makubwa kwenye maisha ya ndoa kama anayokutana nayo mleta uzi
 
Kuna mengi huyajui! Siyo kwamba ukiendesha anaogopa kuwa utamsababishia ajali bali anaona aibu kuwa na wewe kwenye gari ndiyo maana anakaa nyuma. Kwa kifupi anaona wewe siyo type yake kwa sasa. Mengi huyajui ila ngoja niishie hapo!
Nahesabu comments za kweli!

Hii ni comment ya kwanza ya kweli!
 
Huyo ni mke au takataka? Kwanza ana umri gani?

Infact, wewe pia una umri gani? I must be honest, kuna utoto na irresponsibility mahali fulani!

Kuwa nae makini sana huyo mkeo ana tabia ya uchoyo na ubinafsi! Jiandae baada ya muda kugawana mali pasu kwa pasu baada ya talaka! Na talaka haiko mbali!

No wonder ni mroho wa chakula pia?

Kwanza huwa mnakula mezani nyie? Au mnajificha ficha tu na mabakuli ya mchuzi uvunguni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni comment ya pili ya kiume!

Naendeleaa kuhesabu...
 
Mkuu unakosea Sana, yani umpe mke biashara aendeshe halafu usifuatilie mapato?
Wewe ndiye unapaswa uamue matumizi ya mapato sio yeye kujiamulia.
Leo amenunua gari kwa jina lake kesho atajenga nyumba kwa jina lake kitakachofuata hapo ndipo Utajua mke sio ndugu.
Comment ya tatu ya kiume!!

Ningeiona mwanzo ingekuwa ya kwanza!

Kazi iendelee...
 
Back
Top Bottom