Mke wangu hataki niendeshe gari alilonunua. Nakereka sana

Mkuu wangu, kila hatua alinihusisha na ninataka nikuhakikishie kwamba pesa za manunuzi zilitokana na biashara na hiyo biashara ni yetu. Naiita ni yetu kwa mantiki mimi ndiye mtoa mtaji kwa 100% na nikamkabidhi kama ajira yake lkn kitega uchumi cha familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimuamini sana mwanamke, hiyo gari mlinunua bei gani ?, hiyo tabia anayoionesha lazima kina kitu kiko nyuma yake, hawa wanawake huwa hawajui kuficha hisia, kama hiyo gari ingekuwa imenunuliwa kwa pesa yako 100% asingeweza kukuleta zengwe, unaweza kuwa ulitoa hela akaipeleka kwao halafu akahongwa kununua gari hiyo, mchunguze sana, hayuko peke yake
 
Na mna mipango ya mbali, eti hadi mtoto mkubwa akimaliza university
Familia ni sirikali kamili...lazima uwe na mipango ya mda mrefu/ya mbali.... na mipango ya mda mfupi Mkuu!!km huna iyo akili nakupa bureee chukua..

Unashindwa na dogo ana miaka mitano lkn anajiona ni Rais kesha panga baraza lake la mawaziri...

Yaani jebga tabia hii na jiulizege...

itakuwaje siku nikifa uzeeni au ujanani km leo nitalazwa wapi?

Shamba ninalo je watu wangu litawatosha pia??
Je limeendelezwa vya kutosha??

Uchagani/wakurya. wahaya hii ni sifa
kubwa sana ujue utashangaa videmu vyote vinaolewa kuwa na mipango mirefu km hii...! Ila nyie wamakonde mnaona uchuro!!kingine cha kujiuliza....

Je nina uhusiano mzuri na Mungu/ au watu wengine wanao kuzunguka.

Je nimesha ungama ....

Je mke/nyumba ndogo.. wangu ataishi vipi na watoto ulio zaa huko hata km ni vidumu kumi jenga ivo kwa idadi utakufa vizuri ...???

Nimeacha mpunga wa kuwatosha...

Nyumba wanazo hata za kupangisha??

Nani atarithi mke wangu endapo itatokea kufa leo...

Jiulizege hayo....hujawahi kuona mke anakuuliza ukifa leo utaniacha wapi/vipi... na watoto??

Kidume unajipinda unamjengea kwao uchagani....hapo sasa ukitimiza hayo utakufa huku unacheka..kwa adabu zote na heshima km wachaga na wakurya wao daima kuzika ni Mkoa.tena shambani huko....yanakofanyika matambiko

Si unaona Nyerere?? Kazikwa Mwitongo..Msuguri....nk
 
Mke wako mshamba wa magari na limbukeni, mimi hata kama gari alinunia kwa pesa yake mimi ndiyo nitaitumia muda mwingi kuliko yeye
shaaa ana akikugomea useme pia hapa. kwaa lipi haya mpaka uwe na kiburi hivyooo
 
Duuuh

Kweli wanawake selfish asee
Na Mwanamke akisha kua selfish Basi na chance za kukutanguliza kwa Sir God zinakuwa ni kubwa sana, maana anaona Kama unambana sana hawezi fanya Mambo yake kwa uhuru!! Tuishi nao kwa akili,tena akili kubwa ndiyo muhimu zaidi!!
 
Comments za kiume zinatiriirika kwa kasi kubwa...

Haina haja ya kuendelea kuzihesabu tena.

Mwanaume mwenzetu, bila shaka atakuwa ameshaelewa somo!
Mchepuko ulionunua gari umemkataza Mke asimpe Mumewe gari kutumia,na Mke alivyo mjinga anatekeleza maagizo ya Mchepuko! Kifo Cha Mume kiko karibu sana, maana Mchepuko ukiamuwa Mume aondolewe Duniani ni second tu wife anatimiza!!
 
Kuna watu watamshauri vibaya na yeye atekekeze hili Jambo angemwambia mkewe angejirekebisha sio humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi badirisha mtu mwenye roh mbaya Kama apendi ku share na mmewe iyo gari ata ukifanya vikao .. nothing can change chamuimu jamaa aipuuze tu iyo gari ili mkewe awe huru .. pia awe makini nae kwenye vitu vingine pia vinavyo husiana na Mali .. cuz maybe Ni njia mungu ameamua kutumia kuonyesha uzaifu wa mkewe ..
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Brother,maisha sio serious kihivyo...
Share experiencena wengine uongeze siku za kuishi, kujibania bania na mambo yanayoumiza mwisho wa siku mtu anaishia kujinyonga bure, life is too short, enjoy it!
 
Familia ni sirikali kamili...lazima uwe na mipango ya mda mrefu/ya mbali.... na mipango ya mda mfupi Mkuu!!km huna iyo akili nakupa bureee chukua..

Unashindwa na dogo ana miaka mitano lkn anajiona ni Rais kesha panga baraza lake la mawaziri...

Yaani jebga tabia hii na jiulizege...

itakuwaje siku nikifa uzeeni au ujanani km leo nitalazwa wapi?

Shamba ninalo je watu wangu litawatosha pia??
Je limeendelezwa vya kutosha??

Uchagani/wakurya. wahaya hii ni sifa
kubwa sana ujue utashangaa videmu vyote vinaolewa kuwa na mipango mirefu km hii...! Ila nyie wamakonde mnaona uchuro!!kingine cha kujiuliza....

Je nina uhusiano mzuri na Mungu/ au watu wengine wanao kuzunguka.

Je nimesha ungama ....

Je mke/nyumba ndogo.. wangu ataishi vipi na watoto ulio zaa huko hata km ni vidumu kumi jenga ivo kwa idadi utakufa vizuri ...???

Nimeacha mpunga wa kuwatosha...

Nyumba wanazo hata za kupangisha??

Nani atarithi mke wangu endapo itatokea kufa leo...

Jiulizege hayo....hujawahi kuona mke anakuuliza ukifa leo utaniacha wapi/vipi... na watoto??

Kidume unajipinda unamjengea kwao uchagani....hapo sasa ukitimiza hayo utakufa huku unacheka..kwa adabu zote na heshima km wachaga na wakurya wao daima kuzika ni Mkoa.tena shambani huko....yanakofanyika matambiko

Si unaona Nyerere?? Kazikwa Mwitongo..Msuguri....nk
Sawa mummy, me cna neno, nakubali
 
Watu hawataki kumwambia ukweli jamaa wanazunguka mbuyu tuu..

Mkuu inaonekana mkeo kakuzidi fedha, anakudharau, anaona wewe si hadhi yake, huna cha kumwambia.

Haiwezi kutokea mke wangu aninyime gari lililotokana na fedha yangu..yaani anaanzaje anzaje mkuu

Sometime wake zetu wanapaswa kutuogopa

Ushauri.

Tafuta pesa acha kulialia..nimekasilika Kama hili Jambo limenitokea mimi.
 
Sasa ukimshauri atumie pesa ili Mke wake amuogope, inamaana huyo mkewe yeye anaendeshwa kwa nguvu ya pesa!? Basi siku huyo mkewe akipata Mwanaume mwenye pesa zaidi yake atamdharau tena! Mwanaume tumia uwanaume wako ili mkewo akuheshimu na kukuogopa, usikubali kua mtumwa wa pesa,wwe simama Kama Mkuu wa familia uwe na pesa au usiwe na pesa simama na jiaamini sana hata Kama Mke wako ni CEO wa Vodacom,akishindwa kufuata mashariti yako wwe tumbua faster huyo,na teua msaidizi mwingine azibe nafasi!!
 
Nimejikuta nawachukia sana watu wanaotoa siri za wapenzi wao hadharani, hivi unadhani nani anajali? inatusaidia nini>? Jifunze kumheshimu mke au mume wako, social media kamwe haiwezi kukusaidia matatizo yako zaidi utaishia kupata majanga zaidi
Mkuu na wewe una courage ya ajabu kumchukia usiyemjua. At the end of the day these are social media…..don’t take life too seriously.
 
Huenda unaendeshaga gari roughly kwa hiyo anahofia usijeukaliharibu.

Hata utunzaji kwa ujumla, gari haisafishwi hadi mvua inyeshe ijisafishe.

Regular service haipelekwi kufanyiwa hadi gari ikorofishe.
 
Back
Top Bottom