Wanajamii naombeni ushauri kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi.
Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni laizima.
Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pngine ni kutokana na kiungo kikubwa Mungu alichonijaalia.
Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?
Wewe hujui kumuandaa mkeo bwana acha kutuletea habari za kuwa na kiungo kikubwa. Nenda kajifunze kumuandaa mkeo acha story bana
Anatuzuga huyu, inamaana kabla hajamuoa alikuwa hajafanya testing? Ile kitu ni elastic bana hamna cha ndude kubwa wala nini. Mtoto anapita seze hicho?
Wewe hujui kumuandaa mkeo bwana acha kutuletea habari za kuwa na kiungo kikubwa. Nenda kajifunze kumuandaa mkeo acha story bana
Si maandalizi tu, kuna zaidi muoneni dr. kuna wanawake wanahilo tatzizo niliwahi kusoma mahali.
Wewe hujui kumuandaa mkeo bwana acha kutuletea habari za kuwa na kiungo kikubwa. Nenda kajifunze kumuandaa mkeo acha story bana
Mh hapa kwehitaji ushauri wa maana bila hivyo ndoa itakua haina raha!! mh ndo maana humu ndani kuna watu wanakubali usemi wa Kutest kabla ya ndoa maana shida kama hizi utakua ushazijua!!
kitalolo hebu jaribu kukijua kifaa ulichopewa jinsi ya kukitumia
hebu jaribu kumuuliza wife ni vip anakuwa confotable wakati wa mahaba
na swala la kumtoa damu nenda Hosp mkapate ushauri wa daktari
inawezekana una chuma cha reli
Boss muelekeze basi amuandaaje!