Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Nipe mimiHabari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=
Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
Hizi mada za kijinga hizi nazo za kushirikisha watu hizi? Inaonekana umezidiwa akili na mkeo!Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=
Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
Kama hiyo busara atakuwa nayo lakini!Mi nashauri upunguze misifa mkuu,hii italinda busara yako kama unayo
Yeah,kama anayo?Kama hiyo busara atakuwa nayo lakini!
Umeoa Uchaggani au Upareni? Hakuna haja ya simu inayozidi 200,000/- hata kama mna pesa kiasi gani.Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=
Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.
Hii chai tangawizi imezidi, cha kufanya hapa aendelee kutupikia chai ya majani ya chai.
Ni kosa kuomba ushauriKama hataki sisi tumsaidieje au ulitaka Watu wajue kuwa una Pesa na unampenda sana Mke wako?
Umemiss kubamizwa kama kawaida yako na lucasnjoo geto tuangalie TV