Mke wangu hasapoti juhudi zangu. Ananikatisha tamaa sana

Kua muwazi ni biashara gani?Isije ikawa ya uvamizi na ujambazi lzm akununie
 
Huu Uzi umenikumbisha mbali,mwanzoni ndo tumeoana tuna mtoto mmoja,nikapata safari ya kikazi,mtoto alikuwa anumwa,so nkaona nmwachie kadi ya bank na password.

nkajua hata kama atatumia sana haitazidi laki mbili,Baba ndani ya wiki acc ilikombwa yote,akabakiza ten tu ya kufungulia account.

niliporudi mi no mgumu kutoa machozi sana ila yalilengalenga kwa kweli,kumuuliza akasema kuna biashara anataka kuifanya kwa hyo amekopa atarudisha.

nkamchapa Kofi moja hatari,akakimbikia nje hasira akaanza kuvunja vioo na mawe..

maisha haya wakuu yanachekesha kwwli.
Hahahahahah mkuu umenichekesha sana,yaani Mungu atupatie hekma na mioyo ya uvumilivu.
 
Hahaha bro usimwambie mwanamke unataka kuanzisha biashara ya wateja wa kike

Nataka kufungua banda la kupaka kucha wanawake

Nataka kufungua salon ya kike

Nataka kufungua duka la nguo za kike
 
Ni shida kuoa hawa wanawake ambao mnakutana ashamaliza chuo ashaanza kazi, kwanza ashaishi na watu kibao chuo na kazini kwahiyo wewe anakuona kama mwenzie tu. Kila mnachopanga hakioni kama cha kwenu anakiona cha kwako
 
Vitu muhimu:

- Mke ana haki ya kuwa na Mawazo tofauti na yako, sio lazima a Support kila kitu.
- Hata sipo Support hakikisha unakiendea kwa utulivu bila kumnyanyasa.
- Hakikisha anapata maitaji yake yote ya Muhimu na ukishaoa ujue hauishi kisela tena huwezi amua tu kuparamia vitu.

Wewe ni kichwa cha nyumba kweli????

Au ndo mko 50/50 na mkeo

Mwanaume ame hold visions za wapi familia inaelekea,kazi ya mwanamke ni kumsupoti na kumshauri sehemu ambazo umakini unahitajika zaidi,sasa usifanye biashara au project flani kisa mwanamke wako kakataa halafu siku uje umwambie hamna hela ya kula sababu kipato changu hakitoshi wewe umesema tusifanye biashara flani

Power unayompa mkeo sio yake na wala haina la maana zaidi ya kukukwamisha mwenyewe.

Ukiwa mwanaume lazima ujue mnaelekea WAPI kama hujui hilo basi wewe kuwa mwanamke na mkeo awe mwanaume sasa kama hujui unapoenda hata pesa ya kuhudumia familia utapata kweli?????????

Inapaswa ukimwambia mke wako tunajenga this year ,yeye ajiamdae kukusapoti kwa msaada wa nguvu,akili na kadhalika.

Nyie ndo mnakaa na wake zetu kizezeta mpk mkeo anaanza kukupa wewe mawazo sasa utasikia mume wangu si tujenge nyumba taratibutaratibu,si tufungue biashara tuwe tunapata mia mbili mia tatu.Mwanamke anaona kabisa huyu mtu hana plan wacha walau nimfungue akili...
 
Kuna mwanamke nilizaa nae mtoto akawa anakomaa sana nimuoe akati me bado nlikuwa sina hata kazii nkamwambia atulie... Nkawa napata vijisenti kila tukipanga kufungua biashara mwenzangu anasema mara niandike jina lake sijui bhasi la mtoto yani nkasema hii noma. Sema sababu hatujafunda ndoa nkasema poa tuu ila naona hata ningefunga nae ndoa asingebadilikaaaa... Mnaishi wote lakini kila mtu na mawazo yake...
Sasa hivi wanawake wanamambo ya hovyo sana. Wanapenda mfanye mipango kwa manufaa yake yaani yanawaza kurithi tu.
 
Ndo akili zao zipo huko mkuu.. Wanahisi kila mwanaume ni tapelii!! Yani
Sasa hivi wanawake wanamambo ya hovyo sana. Wanapenda mfanye mipango kwa manufaa yake yaani yanawaza kurithi tu.
 
Sasa hivi wanawake wanamambo ya hovyo sana. Wanapenda mfanye mipango kwa manufaa yake yaani yanawaza kurithi tu.
Utasikia anasema hivi ukifa sasa hivi unadhani itakuwaje? Siku ukifa hili litaleta shida. Unataka ukifa ndugu zako wanisumbue. Yaani ashakupangia kabisa wewe kutangulia.
 
Kutokuwa wazi kwako kunadhihilisha wazo lako lilikuwa halina manufaa kwake.
Ungeweka hilo wazo ulilomwambia ata kwa ufupi ndio tungejua shida ipo wap sio tumpondee mkeo kumbe ulienda na wazo la kumuolea mke wa pili
 
Kutokuwa wazi kwako kunadhihilisha wazo lako lilikuwa halina manufaa kwake.
Ungeweka hilo wazo ulilomwambia ata kwa ufupi ndio tungejua shida ipo wap sio tumpondee mkeo kumbe ulienda na wazo la kumuolea mke wa pili
 
Huu Uzi umenikumbisha mbali,mwanzoni ndo tumeoana tuna mtoto mmoja,nikapata safari ya kikazi,mtoto alikuwa anumwa,so nkaona nmwachie kadi ya bank na password.

nkajua hata kama atatumia sana haitazidi laki mbili,Baba ndani ya wiki acc ilikombwa yote,akabakiza ten tu ya kufungulia account.

niliporudi mi no mgumu kutoa machozi sana ila yalilengalenga kwa kweli,kumuuliza akasema kuna biashara anataka kuifanya kwa hyo amekopa atarudisha.

nkamchapa Kofi moja hatari,akakimbikia nje hasira akaanza kuvunja vioo na mawe..

maisha haya wakuu yanachekesha kwwli.

Duh samahani lakini hapo upo kifungoni sio ndoa hio
 
Wewe ni kichwa cha nyumba kweli????

Au ndo mko 50/50 na mkeo

Mwanaume ame hold visions za wapi familia inaelekea,kazi ya mwanamke ni kumsupoti na kumshauri sehemu ambazo umakini unahitajika zaidi,sasa usifanye biashara au project flani kisa mwanamke wako kakataa halafu siku uje umwambie hamna hela ya kula sababu kipato changu hakitoshi wewe umesema tusifanye biashara flani

Power unayompa mkeo sio yake na wala haina la maana zaidi ya kukukwamisha mwenyewe.

Ukiwa mwanaume lazima ujue mnaelekea WAPI kama hujui hilo basi wewe kuwa mwanamke na mkeo awe mwanaume sasa kama hujui unapoenda hata pesa ya kuhudumia familia utapata kweli?????????

Inapaswa ukimwambia mke wako tunajenga this year ,yeye ajiamdae kukusapoti kwa msaada wa nguvu,akili na kadhalika.

Nyie ndo mnakaa na wake zetu kizezeta mpk mkeo anaanza kukupa wewe mawazo sasa utasikia mume wangu si tujenge nyumba taratibutaratibu,si tufungue biashara tuwe tunapata mia mbili mia tatu.Mwanamke anaona kabisa huyu mtu hana plan wacha walau nimfungue akili...

Ni mtamo tu, kichwa Cha Nyumba kama ilivyo Mfano wa kichwa cha mtu kinapata taarifa kutoka kwa viungo kabla hakijaamua!

Mfano:

- Kabla ujaamua kukata nywele macho huwa yanakupa taarifa au mkono Kuwa zimekuwa kubwa sana.

Maamuzi ya kichwa yanapata taarifa kutoka katika viungo kabla havijaamua, Biblia which tells you as a head, also inamwita mwanamke kama msaidizi........

Mwanamke should be given chance to say and have opinions, but should not challenge the decisions!
 
Wewe ni kichwa cha nyumba kweli????

Au ndo mko 50/50 na mkeo

Mwanaume ame hold visions za wapi familia inaelekea,kazi ya mwanamke ni kumsupoti na kumshauri sehemu ambazo umakini unahitajika zaidi,sasa usifanye biashara au project flani kisa mwanamke wako kakataa halafu siku uje umwambie hamna hela ya kula sababu kipato changu hakitoshi wewe umesema tusifanye biashara flani

Power unayompa mkeo sio yake na wala haina la maana zaidi ya kukukwamisha mwenyewe.

Ukiwa mwanaume lazima ujue mnaelekea WAPI kama hujui hilo basi wewe kuwa mwanamke na mkeo awe mwanaume sasa kama hujui unapoenda hata pesa ya kuhudumia familia utapata kweli?????????

Inapaswa ukimwambia mke wako tunajenga this year ,yeye ajiamdae kukusapoti kwa msaada wa nguvu,akili na kadhalika.

Nyie ndo mnakaa na wake zetu kizezeta mpk mkeo anaanza kukupa wewe mawazo sasa utasikia mume wangu si tujenge nyumba taratibutaratibu,si tufungue biashara tuwe tunapata mia mbili mia tatu.Mwanamke anaona kabisa huyu mtu hana plan wacha walau nimfungue akili...
Wewe ni kichwa cha nyumba kweli????

Au ndo mko 50/50 na mkeo

Mwanaume ame hold visions za wapi familia inaelekea,kazi ya mwanamke ni kumsupoti na kumshauri sehemu ambazo umakini unahitajika zaidi,sasa usifanye biashara au project flani kisa mwanamke wako kakataa halafu siku uje umwambie hamna hela ya kula sababu kipato changu hakitoshi wewe umesema tusifanye biashara flani

Power unayompa mkeo sio yake na wala haina la maana zaidi ya kukukwamisha mwenyewe.

Ukiwa mwanaume lazima ujue mnaelekea WAPI kama hujui hilo basi wewe kuwa mwanamke na mkeo awe mwanaume sasa kama hujui unapoenda hata pesa ya kuhudumia familia utapata kweli?????????

Inapaswa ukimwambia mke wako tunajenga this year ,yeye ajiamdae kukusapoti kwa msaada wa nguvu,akili na kadhalika.

Nyie ndo mnakaa na wake zetu kizezeta mpk mkeo anaanza kukupa wewe mawazo sasa utasikia mume wangu si tujenge nyumba taratibutaratibu,si tufungue biashara tuwe tunapata mia mbili mia tatu.Mwanamke anaona kabisa huyu mtu hana plan wacha walau nimfungue akili...
Mkuu nadhani hujaelewa kinachoongelewa hapa,sasa wake zetu in wale ukiwambia mwakani hii nyumba naibomoa niiongeze juu iwe one story ,jibu analokupa ni kukukatisha tamaa tu,atakwambia kwa hela gani uliyonayo wewe..
 
Sikua najua, kumbe kuwa na mwenza ambaye hasapoti juhudi zako za maendeleo INABOA SANA WAUNGWANA.

Kitu ambacho sikua najua kumbe mke wako pia anaweza kukuonea wivu na kukudhuri kwa husda /kijicho /roho mbaya.

Nimejiskia vibaya leo baada ya kumueleza kwa bashasha mke wangu WAZO langu zuuri hatimae kunilaumu na kuninunia.

Aisee!!!!

Nikamuuliza ' Sasa we unaona tufanyeje hapa?' hakuwa na jibu m badala wala suluhu yoyote. Wosia wake ni kuachana na ishu yangu na kujikalia tuuu.

Wito.
Mke/mume wako anaweza akawa kikwazo Cha maisha na mafanikio yako.

Najua mtapenda kujua ishu yenyewe, lakini naomba mniwie radhi kwa kutoiweka wazi.

Sasa kwa staili hii tutafikia uchumi mkubwa kweli?
Huo ni UBAVU WAKO KWELI.?
 
Back
Top Bottom