Huu ndio ukwelihapo hata kama akili ikilala lazima izinduke,
-kama una mchakato wa pembeni ujue kakubamba na anahasira hataki kusema nawe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jarbu kuwapigia ndugu au marafki zake ikishindikana tuma tigopesa au mpesa mwenyewe lazma akupigie
Makonda huyoPigia ndugu au majirani wakamcheki.
Mnawasiliana kupitia sms, kupigiana simu direct na nini? Yupo hewani?
Ikishindikana basi sema kama ni mtumiaji wa social networks etc upate maujuzi zaidi kujua mengine.
Pole ndugu
Ha ha ha ha noma kweliMtumie sms hii. "WATCH OUT, YOU ARE NOT FREE TO THAT EXTENT"
Mtumie sms hii. "WATCH OUT, YOU ARE NOT FREE TO THAT EXTENT"
Hahaha jirani mpe mwanaume mwenzio mbinu za kupigiwa badala ya kukaa 5 days akihaha......jamaa kiboko kashindwa hata kujiongezaMkuu...mke wako kakusoma akili na tabia zako kuwa ni za kitoto ndio maana kathubutu kukukaushia kupokea simu.
......Mimi nikiwa mbali naye huwa yeye ndio anahaha kupiga simu.....jifunze kuishi kiume utaona Kama hayo yatakutokea.