katokumbi
Senior Member
- May 19, 2012
- 195
- 78
hahahahaahhaaMkuu...mke wako kakusoma akili na tabia zako kuwa ni za kitoto ndio maana kathubutu kukukaushia kupokea simu.
......Mimi nikiwa mbali naye huwa yeye ndio anahaha kupiga simu.....jifunze kuishi kiume utaona Kama hayo yatakutokea.