Mke wangu hapendi kufanya mapenzi

Anashiriki na mtu mwengine, sio wewe.
 
Mimi nasoma comments tu mkuu maana nahisi ili tatizo ni kwa wengi ila usijaribu kuchepuka, ukichepuka unaongeza tatizo hasa akijua

Mimi kwangu ilinipa shida mwanzoni ila kwa sasa natunza nguvu tu ni anakaaa ila siku akaachia kidogo nikikiamsha lazima atoe na shukurani. Wakati mwingine ni wivu tu au kuwa na kazi nyingi sana mtu hana muda wa kuwaza mapenzi wakuta kutwa nzima yeye na kazi za ndani na huwa haziishagi
 
1. Umeshajaribu kuongea nae juu ya hili, angalau ujue a.b.c?!

2. Huenda ni mazoea. Kuna wengine hawapendi kufanya tendo kila mara.

3. Unapofanya nae tendo, huwa unamfikisha kunako, Ama ndo ilimradi upige bao nyingi?

Jitahidi kulifanya tendo kuwa lenye furaha na sio karaha kwa mwenzi wako.
Ikishindikana kabisa, pata mda wa kuonana na mtaalamu kwa ushauri zaidi.
 
Ntakupa ushauri kwakujiweka kwenye viatu vyake..
1.uzazi wa mpango (vijiti)unatukata sana stimu
2.watoto baada ya leba tunawaziaga watoto tu hisia za chini ni kama tumepalalaizi
3.mazingira yaleyale yanaua hisia,jaribu kumtoa mwenzio out mpe break na majukumu ya nyumbani
Mengine watajazia wengine ngj nkabebe mtoto analia
 
Ishawahi mkojolesha????
Akafika kileleni?
Yaani climax?
Ukimfanyia siku moja tu atakuja addicts WA sex
Wengi wanaume mnalalamika hapa...
Unakuta hamuaaakojoleshi au hamuwaandai kabisa..
Unakuta hai enjoy.
Huyo mke wako akipata mguu WA kumkojolesha hata akiwa WA kike.... Atakuacha
 
Kama amechoma sindano za uzazi wa mpango jipange kukaa bench miezi 6 hapo,
 
Usitusemee....
 
Kazi nyingi mwili kuchoka....kunyonyesha kunapunguza libido...kuzaa watoto zaidi ya mmoja lazima mgawane muda...yani akili ya mama ipo kwa mtoto zaidi sasa kama wako 3 au 4 ndo hatari zaidi..ndo maana wazungu wanazaa mmoja au 2..ili mama apumzike na akae vzr kiakili na kimwili...its all about ubongo..yani ni vile ubongo umeleftisha mafaili..kwa sasa faili linalo upload faster ni watoto..
 
Kama wengi walivyosema hapo juu..uzazi wa mpango una effects kubwa sana. Tafuteni mbinu nyingine lakin hayo matakataka yanashida katika miili mno..(kwa ufahamu mdogo juu ya research nilizoshiriki kwenye masuala ya jamii na afya). Kuna tafiti mbalimbali zinaendelea duniani, so tafuteni njia mbadala.

Lakini pia ni ushauri tu, abadilishe diet. Abadilishe menu kabisa. Fried foods aachane nazo, Butter aikimbie kwa muda. Chemicals azikimbie kwa muda. Ajaribu kula natural food kama magimbi, mihogo, ndizi, viazi vitamu, nyanya chungu na bamia (kila siku) tena zilizopikwa kwa mafuta kidogo sana. Kuna sumu zimeingia na kuhatarisha vichocheo vyake nadhani.

Lakin pia how do you relate with her? Maana wanapoingiaga watoto bwana kunakuaga na mabadiliko sana. Kaeni chini, muongee..tell her what you feel na yeye akwambie whats up. Hata uende kwa wengine kumi wakizaa wakawa busy na watoto kasi zao zitapungua tu. Talk this through..mpate suluhisho. Ulimchagua ukamuona bora, then chose her all the way. FPM ni crazy shits aisee.....
 
tafuta mchepuko njee.
 
Asante sana
 
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…